Utumwa mwingine tumeshindwa kukataa ni huu wa kuwapa watoto majina kwamba mwanaume ndo anapaswa kutoa Jina kwa mtoto Kuna tatizo gani mwanamke akimpa Jina mtoto aliemzaa.
Nimekaa Hapa Nikakumbuka Nikiwa Kidato Cha pili Nimewahi Kukamatwa na Kimadam Kimoja Hivi Cha Field Nikiwa Zangu Back Bencha Nasikiliza Hili Pini....,Hapo Dude Lilikuwa Linamwezi Tu Limetoka Huniambii Kitu Oote๐ฅ
Hio Kolabo Niliyopigwa Pale Staff Siwezi Kuja Kusahau Kudadeki๐๐
Kuna wasenge humu ndani sijui huwaga wanajikuta kina nani ambao huwaga wanajikuta hawajui kureply comments za watu na hafungui Dm wanazo tumiwa ๐ฎ๐ฎ
Wakuu naomba tuka follow account mpya ya familia HATUSHINDWANI BEI STORE handle @zizujo02 account yake ile ya @zizujo01 imekula umeme jana jamaa ana Fb mapema ๐๐ฅ
Handle mpya ๐ @zizujo02