Hawa wote ni wanangu na wote wanahitaji mafanikio kutoka kwangu daah nawaza, lkn naweza pendelea mmoja kumsomesha ili wengine awaokoe.Aaah lkn elimu c ni bure, ngoja niwapeleke wote.
“Kwa kifupi Wachina walisema, sisi tunawashangaa sana ninyi rafiki zetu Watanzania, tunawashangaa mnajenga reli ya kisasa (Kabla ya kujenga bandari), ni kama kuendesha mkokoteni lakini unaweka ng’ombe nyuma alafu mkokoteni mbele” Job Ndugai-Spika wa Bunge
https://t.co/fRomWzUpWu