@swahilitimes Ngwali muogope mungu..kama kweli hizo ndio sababu kwanini basi haukusubiri kumaliza muda wako wa kumaliza bunge???.. umefika bei kaka.... sema tu ukweli
Mzee wangu Membe jihadhari sana na hiyo safari yako ya Lindi leo . Kuna kijana ndani ya team yako amesha compromise na ukipata ajali usishangae. Unaliona hili gari? Basi sali sana na Mugu wako akusimamie maana watesi wako wako kazini..
Msaidizi wa Mhe. Zitto Kabwe( mbunge wa kigoma mjini) anaetambulika kwa jina la Raphael ametekwa na watu wasiojulikana na sasa account za social media za Mhe. Zitto zinatumika kuandika mambo ya hovyo sana...Tena hovyo kabisa....Kama watanzania tunapaswa kulaani vitendo hivi.
Tuwaite watoto wetu majina yenye maana nzuri....
Kwa taarifa yako, majina huakisi matendo yetu pia....mfano ni huu
Maana ya neno Assad..
1. As'ad - maana yake furaha
2. Asad - maana yake simba (haogopi)
3. Azad - maana yake ni Uhuru..
Tamka uwezavyo maana bado ni fire.
Kwaiyo alielima shamba la Bhangi ili agawe bure kwa wavutaji yeye si mtu wa hovyo!!!. Ila alievuta bhangi hiyo kisha akapiga kelele mtaani yeye ni hayawani kabisa sio!!!!.. Hivi siku hizi sifa za kuwa mkuu wa mkoa ni nini???..
Nchi yetu itabaki milele kuwa Tanzania ...Dahali na Dahali....lkn Serikali zitabadilika sana....Naipenda Tanzania...lkn ninawapinga sana watu wanao tuongoza kwa Sera zao zilizokosa macho mapevu kwenye sekta za kiuchumi, kisiasa na kijamii
Anesema kuikosoa serikali ni kuitukana nchi... Anakosea sana...tena sana....serikali na nchi ni vitu viwili tofauti....serikali ni watu na nchi ni ardhi iliyo ndani ya mipaka yetu....unaweza ukaikosoa serikali na hata kuikataa lkn hauwezi ikataa nchi yako