🚨 ONYO
Kutokana na Post hii, Naomba Ukipata
Muda Play hii video sikiliza kwa makini
ukiweza Rewind ili uelewe kinachosemwa.
Sikiliza alafu Tanua Akili yako vizuri 🤣
UBONGO WA MWANADAMU HAUJUI KUTOFAUTISHA UKWELI NA UONGO,
Ubongo wako haujali sana ukweli… UNAJALI KILE KINACHORUDIWA (Repetition)
Unachorudia ndicho unachokua.
Fikiria hili..
Unaangalia movie ya kutisha.
Unajua kabisa ni maigizo.
Hakuna kitu halisi pale.
Lakini moyo unapiga haraka, mwili unaogopa, akili ina-react kama vile ni kweli.
Hapo ndipo nguvu ya UBONGO ilipo.
Ubongo wako hauko designed kubishana na kila kitu unachokiona au kusikia.
Uko designed kujifunza kupitia marudio.
Unachokirudia mara nyingi, ubongo unakichukulia kama
Hiki ndio maisha halisi.
Na hapo ndipo tabia zinazaliwa.
Kama unarudia
1. Kusoma kila siku >> inakuwa kawaida yako
2. Kuweka akiba >>inakuwa sehemu ya identity yako
3. Kufanya mazoezi >>mwili unaadapt, akili inaamini
4. Kujidharau >>unajenga version dhaifu yako bila kujua
Tatizo sio kile unachofanya mara moja.
Tatizo ni kile unachorudia bila kufikiria.
Ukijisema kila siku “Siwezi”
Ubongo hauhoji.
Unarekodi tu
Ukisikia mara nyingi “Hii siyo ya watu kama wewe”
Na ukaikubali… inakuwa sheria ndani yako.
Hapo ndipo maisha ya watu wengi yanakwama si kwa sababu hawana uwezo,
bali kwa sababu wamejifunza kuamini vitu walivyorudia.
Ukweli mchungu ni huu chief
Ubongo wako ni kama udongo.
Kila unachopanda kwa marudio kinamea.
Haijalishi ni kizuri au kibaya.
Ndiyo maana mafanikio siyo tukio… ni mfumo wa marudio.
Unataka kubadilisha maisha yako?
Badilisha unachorudia kila siku.
Rudia nidhamu mpaka iwe kawaida
Rudia kujiheshimu mpaka iwe standard
Rudia kufanya kazi mpaka iwe identity
Kwa sababu mwisho wa siku…
Huwezi kuwa kitu ambacho hukirudii.
REPETITION IS THE POWER.
Mungu kwa maana ya Aliyeitwa.
Hata atheist anamwita... sayansi
Wewe unamwita nan? yaani unamwamini nani?
Mungu, Nafsi, na Uumbaji Tafsiri Mpya yaAAni "Aliyeitwa"
“Mungu” Ni Nani?
Neno "Mungu", kwa kiingereza "God", linatokana na chimbuko la Kijerumani la kale, likimaanisha "aliyeitwa" au "the invoked." Hili ni neno la uwakilishi, si jina takatifu kama vile "YHWH" katika Uyahudi, ambalo hutajwa kwa heshima kuu na hata matamshi yake halisi hufichwa kimakusudi.
Kwa hiyo, hata kabla ya kuuliza “Mungu ni nani?”, tunapaswa kuuliza: “Tunamwelewa vipi huyo tunayemwita Mungu?”
Katika tamaduni nyingi za binadamu, kuna imani ya kuwa kuna uwepo wa juu, nguvu fulani isiyo ya kawaida, inayovukwa mipaka ya maumbile.
Kwa kuwa neno "Mungu" lina maana ya "aliyeitwa", basi kilicho muhimu zaidi ni kitu au yule tunayemwita ? na hapa ndipo dhana ya Mungu huanza kugeuka kuwa ya kibinafsi, ya kiutamaduni, na ya kimaisha.
SOTE TUNAMWITA MTU/FIKRA HATA WANAODAI KUWA HAWAAMINI
Atheism (kutokuamini katika Mungu) hufasiliwa kama ukosefu wa imani katika uwepo wa Mungu. Lakini, kama Mungu ni "aliyeitwa" basi
swali ni nani au nini unamwita kwenye akili yako unapohitaji msaada, maana, au mwelekeo?
Atheist anaweza kusema haamini Mungu, laini anaita sayansi, akili, au maumbile atakapopata changamoto.
Mtaalamu wa akili anaweza kusema haamini Mungu, lakini anaamini kwenye muundo wa akili na tabia za binadamu.
Mwanamazingira anaamini ardhi ni mama, na anajitoa kuilinda hiyo ni "invocation" pia.
Kwa hivyo, tunaweza kusema: Sote tuna Mungu wetu lakini hatumwiti kwa jina moja.
Mungu Wangu Ni Uhalisia Usioonekana Chanzo cha Uhai na Maumbile
Mimi ni muumini wa uhalisia ulio juu ya kuona.
Uhalisia unaoeleza
kwa nini ulimwengu upo,
kwa nini kuna uhai,
kwa nini mimi nipo.
Huu uhalisia ni Mungu wangu. Si lazima awe mtu. Anaweza kuwa impersonal (kama nguvu ya fizikia), lakini pia personalised (anavyojitokeza katika viumbe hai kama mimi na wewe).
Mungu huyu wangu amejificha kwenye sheria za fizikia, kemia, na baiolojia. Tunaambatanisha nguvu ya uvutano (gravity) au mwanga (light) kama vitu vya kawaida, lakini vimebeba muundo na utulivu wa ulimwengu mzima. Katika kutafuta kuelewa hizo sheria, tunamwita Mungu hata bila kulitambua.
Mungu Kama Mfumo wa Uwezekano Usio na Mwisho
String theory hii ni nadharia ya kisayansi inayojaribu kueleza muungano wa kila kitu inasema uhalisia wetu unaundwa na mitetemo midogo kama nyuzi za muziki. Nadharia hii husema mitetemo hiyo hufanya ulimwengu "uimbe" kwa muundo wake maalum.
Kwenye mtazamo huu
Mungu ni seti isiyo na mwisho ya mitetemo chanya, iliyopangwa vizuri, na inayozaa uhalisia wenye uwiano.
Kila ulimwengu unaweza kuwa mafanikio ya aina yake ya “Mungu.” Ulimwengu wetu una mungu wake — mwingine unaweza kuwa na muundo tofauti, sheria tofauti, maisha tofauti.
Hii inazua wazo la kwamba kuna “Miungu mingi” (Gods) lakini kila mmoja akiwa ni mionekano ya UMOJA mmoja: uwepo usio na mipaka.
Mungu na Nafsi ya Binadamu
Ndani ya mwanadamu, kuna kitu tofauti. Tuna uwezo wa:
kutafakari uhalisia wetu,
kuumba vitu vipya,
kuamua kati ya jema na baya.
Huu ni uwezo wa kipekee.
Ni kitu kinachomfanya binadamu kuwa mpenyo wa Mungu katika jambo la kuumba.
Kama tutaamini kuwa uumbaji ni tabia ya Mungu, basi kila binadamu anayechagua kuumba kwa wazo, kwa kitendo, au kwa maadili anajionyesha kama sura ya Mungu.
Roho ya Mungu vs. Ufahamu wa Binadamu
Zamani waliita “Roho ya Mungu.” Leo tunaiita Consciousness akili ya uhalisia.
Ulimwengu umejengwa na ufahamu (consciousness). Na akili ya mwanadamu inaweza kuwasiliana na hiyo consciousness ya juu – Mungu.
Hapo ndipo mtu hupata:
msukumo wa wazo jipya,
ndoto kubwa isiyoisha,
msukumo wa kimaadili unaopita tamaa ya kibinadamu.
Na katika kila hatua ya uumbaji, uhuru wa kuchagua (free will) ni silaha takatifu zaidi.
Kama Mungu ndiye chimbuko la kila chaguo la kweli basi binadamu pekee ndiye viumbe anayeweza kuwa karibu naye.
Mungu ni Nani Basi?
Mungu ni uhalisia ulio na maelewano ya milele (infinite harmony).
Mungu ni mwalimu asiyeonekana wa sheria zote za maisha.
Mungu ni ndani ya wimbo wa maisha, ndani ya mwanga, ndani ya akili ya mwanadamu, ndani ya chaguo la kutenda jema.
Kazi ya Mungu Ni Nini?
Kazi ya Mungu ni KUUMBA na KUSTAWISHA UWIANO (balance).
Ndiyo maana kuna maisha, ndoto, na sheria zisizovunjika.
Na kazi yetu sisi binadamu ni kuiga hiyo asili ya Mungu kwa kuumba, kwa kuunganisha, kwa kuleta uwiano. Maisha yenye uwiano ni maisha yenye utulivu, furaha, na thamani.
Mwanadamu Kama Mrithi wa Uumbaji
“Kuumba ni zawadi. Kuishi ni fursa ya kuonesha asili ya Mungu katika mwili.”
Mimi ni muumini.
Najua kuna Mungu, na najua kuwa Mungu ananijua.
Sote ni miwani inayopenyesha nuru ya Mungu.
Na tumepewa uhuru wa kuchagua kuwa kama Yeye.
Furahia maisha. Simama. Uumbe.
Hiyo ndiyo ibada halisi.
By It's MalekoGJ
Matajiri WOTE unaowafahamu
Wamewekeza Kwenye Biashara
HARAMU ya kukupa -
Raha ya Haraka ( DOPAMIN )
...
Raha ya Haraka,
Itakufanya Utake tena
tena na Tena na tena,,,
Ukitaka kuniaelewa...
Muulize Mtu anayePIGA NYETO
au AnayeKUNYWA Enegy Drink.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Kama hauna pesa ya kulipia tool za kutengenezea content za blog, YouTube automation na Facebook monetization
Kuna hii software nitakupa bure kama unahitaji tu
→Repost
→Comment " Facebook monetization"
→Nakutumia DM
PS: Hakikisha unaitumia vizuri huwezi kukosa hela
Mambo yame-change sana Wazee hatupo kwenye JOBS Economy Tena ambapo VYETI ndo ilikuwa Kila Kitu—Sasahivi tupo kwenye SKILLS Economy
By the way nikipata chance nitakuja na Uzi Mwingine wa Jinsi ya Ku-Package na Kuuza Ujuzi & Taarifa Online
Voila:
Dragon!
Utamsikia mtu anakwambia:
“Wewe mbona sio millionaire,
kama hayo maarifa yanafanya kazi?”
Nimeona Hii Reply kwenye Moja
Post zangu...
Ok...
Inawezekana hujui —
au hujafundishwa kabisa —
namna ambavyo WAZO
huingia ndani ya mtu.
Na hapa ndipo
watu wengi hukosea.
Nipe Sekunde 60 Tu,
Nikufunulie 😆 na kwa Mifano Halisi.
↳ Sio kila WAZO ulilonalo NI LAKO.
Kuna mawazo:
• yanapita tu
• yanakuja kukuonyesha njia
• yanakutumia WEWE kama channel
↳ Wewe unapokea wazo,
lakini kazi yako sio kulimiliki — ni
kulipitisha kwa watu wengine...
Utaniuliza: “Francis — kivipi?”
Kwa sababu ulimwengu haufanyi kazi kiholela.
↳ Unafanya kazi kwa SHERIA.
na kwa nini watu tofauti hupokea
majukumu tofauti ndani ya mfumo mmoja?
Jibu...
Ni ufahamu wa namna maisha -
yanavyopanga nafasi za watu.
Ngoja nikupe Mifano Ambayo ipo Hai.
Mfano 1: Nikola Tesla
Alikuwa na mawazo/Maarifa
makubwa sana kuhusu:
• • umeme wa AC
• • wireless energy
• • teknolojia ya mawasiliano
Lakini:
• • hakuwa mfanyabiashara
• • hakuwa mzuri kwenye mfumo wa pesa
↳ Watu wengine walichukua mawazo yake,
• • wakayajenga kibiashara —
• • wakapata utajiri na sifa za kutosha.
Tesla alikuwa channel.
Wengine walikuwa wavunaji.
Mfano 2: Rosalind Franklin
Alikuwa na data muhimu
sana kuhusu muundo wa DNA
Lakini:...
hakupata recognition kwa wakati wake
hakuvuna mafanikio makubwa...
↳ Mawazo na data alizokusanya zilitumia na:
James Watson na Francis Crick
Wao wakapata:
• • sifa
• • tuzo
• • historia inawatambua
Wazo lilipita kwa mmoja,
mavuno yakachukuliwa na wengine.
Mfano 3: Henry Ford
• • Hakuanzisha gari
• • Hakugundua injini
Lakini:
• • aliona mfumo
• • akaunganisha mawazo yaliyokuwepo
↳ Wengine walikuwa na teknolojia.
Ford alikuwa na uelewa wa
nafasi yake kwenye mfumo.
Ndiyo maana alifanikiwa.
Mfano 4: Steve Jobs
Hakugundua:
• • Computer
• • Mouse
• • Interface
Lakini:
alielewa wapi mawazo
yalikuwa yanaelekea...
akaunganisha watu sahihi
akaweka bidhaa kwenye
mfumo sahihi
Mawazo yalikuwepo.
↳ Yeye aliyaweka kwenye ulimwengu wa watu.
Sasa Wewe kaa Hapo
Endelea Kudharau Watu.
Huwezi Ukajua Maarifa Yatapita
kwa nani ili yakuvushe Sehemu Uliyopo.
ACHA DHARAU
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Mafanikio ya mtu hutegemea na nguvu za kiroho alizo nazo na wala sio bidii wala sio connection Kama unavyodhani , sababu maisha ya mwanadamu ni 100% spiritual 😎 .
Do we still verify information, or have we outsourced judgment?
What happens to truth when perception quietly replaces verification?
The Power of Perception: When Reality Loses the Battle
Published by @chiselbury