Kidunda ni bingwa wa WBF
Seleman Kidunda amefanikiwa kumchapa kwa ushindi wa majaji wote watatu mpinzani wake kutoka DR Congo, Tshimanga Katompa katika pambano la raundi kumi la kuwania mkanda wa ubingwa wa WBF Intercontinetal.
#Paybacknightsongea#homeofboxing🥊
Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Bw. Stephen Mashauri Ndaki akiongoza kikao cha maandalizi ya Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia (MSLAC) mkoani Kagera uzinduzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Aprili, 2025 katika viwanja vya Jamhuri (Mashujaa) mkoani humo.
Kikao hicho kimehudhuriwa na wataalam kutoka Wizara ya Katiba na Sheria wakiongozwa na Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria wa Wizara Ester Msambazi pamoja na wataalam kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya kupeana majukumu na kubadilisha uzoefu ili kufanikisha hafla ya uzinduzi na utekelezaji wa Kampeni mkoani Kagera.
Katika pambano hilo ambalo lilikuwa ni pambano kuu, Galiatano ameshinda kwa ushindi wa majaji wote wa tatu katika pambano hilo la Kili Boxing Tours ambalo ndiyo lilikuwa main card.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Karim Mandonga 'Mtu Kazi' ameendelea kuweka sawa rekodi yake ya ushindi baada ya kumchapa kwa TKO ya raundi ya pili Ali Boznia kutoka Tanga katika pambano la utangulizi la raundi sita.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Shaban Ndaro ameendeleza ubabe wake kwa mabondia wa ndani baada ya kumchapa kwa TKO ya raundi nne Musa Dragon aliyeshindwa kuendelea na pambano kwa kuacha mwenyewe.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Amani Bariki 'Man Chuga amemwaga machozi na kugomea kutoka ndani ya ulingoni kwa muda kufutia madai yake ya kudhulumiwa ushindi wake dhidi ya Mudy Pesa katika pambano la utangulizi la Kili Boxing Tours.
Mabondia hao ambao wamecheza pambano la raundi nane lakini kwenye matokeo yamempa ushindi Mudy Pesa kwa majaji wawili kwa mmoja hali iliopeleka Man Chuga kuishiwa nguvu na kugoma kutoka nje ya ulingoni kutokana na kuongoza kwa raundi nyingi licha ya kuzidiwa nguvu.
Bondia wa ngumi za kulipwa, Sara Alex amefanikiwa kulipa kisasi kwa kumchapa kwa pointi mpinzani wake Samira Kasim katika pambano la utanguli la Kili Boxing Tours ambalo limepigwa kwa raundi nne.
TUPO LIVE YOUTUBE YA BONGO BOXING SAFARI
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Kasim Hamad amefanikiwa kuibuka na ushindi wa pointi kufuatia kumchakaza Gabriel Chola katika pambano la utangulizi ambalo limepigwa kwa raundi nane.
TUP LIVE BONGO BOXING SAFARI NDANI YA YOUTUBE
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Girbert Machupa amefanikiwa kumtandika kwa pointi Roja Mjeshi katika pambano la utangulizi la Kili Boxing Tours ambalo limepigwa kwa raundi sita, hapa YMCA bado moto unawaka.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Waziri Magombana kulia amefanikiwa kumchapa kwa pointi Haruna Ndaro katika pambano la utangulizi ambalo limepigwa kwa raundi sita.
Usisahau TUPO LIVE YOUTUBE
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Bondia Zuberi Kwedi amefanikiwa kumchapa kwa TKO ya raundi ya nne Simon Mrema hapa YMCA Moshi katika pambano la Kili Boxing Tours.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Tony Rashid alishindwa kwa Split Decision".
Sabelo amekabidhiwa mkanda huo leo akiwa katika uwanja wa ndege kabla kuondoka baada ya kuchukuliwa kwa Tony Rashid aliyetangazwa jana kama mshindi.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari
Masikini bondia Tony Rashid amevuliwa ubingwa kufuatia rais wa Umoja wa Shirikisho la Ngumi Afrika, Houcine Houichi kugomea ushindi wa Mtanzania kwa mujibu wa kadi ya matokeo iliotumwa kwao na kupelekea Sabelo Ngebinya kupewa mkanda huo wa ubingwa akiwa Uwanja wa ndege wa
Rais huyo wa ABU alisema kuwa: "Ndiyo, ni kweli, msimamizi alifanya hesabu isiyo sahihi kwa jaji wa tatu, matokeo yalipswa kuwa 113-115 lakini badala yake msimmizi aliandika 115-113 ambayo ni makosa kabisa kulingana na 'mastercard' aliyotuma. Lilikuwa pambano zuri sana lakini
Kutoka hapa Moshi kwenye Ukumbi wa YMCA Bongo Boxing Safari tupo tayari kukuletea Live pambano la Kili Boxing Tours kupitia YouTube channel ya Bongo Boxing Safari na Jemedari Tv fuata links hii.
https://t.co/QSFiw3CyTu
Usikose Kutazama 'LIVE' Usiku wa Kili Boxing Jumamosi ya Februari 25, kupitia YouTube Channel ya BONGO BOXING SAFARI na JEMEDARI TV, Ushuhudie Mapambano Makali kati ya Mandonga Mtu Kazi, Ismail Galiatano na Mengine mengi...
'SUBSCRIBE' YouTube Channel BONGO BOXING SAFARI Basi
Bondia Shaban Ndaro wa Arusha kesho atakuwa na kibarua kizito cha mbele ya Musa Dragon wa Moshi mwenyewe makazi yake jijini Dar katika pambano la Kili Boxing Tours hapa Moshi.
#homeofboxing🥊
#bongoboxingsafari