Asante Mungu kwa neema yako
Kwa afya na uzima kila siku
Kwa familia na rafiki wangu
Kwa riziki na baraka nyingi
Kwa amani moyoni mwangu
Kwa kila jambo nzuri ulilonibariki.
Good Morning X Family๐
Jana nimeenda Barbershop kunyoa na kufanya huduma zingine Dada ndani ya kile chumba nilimlipa 20k akaniambia nikitoka nje wakiniuliza niseme nimeosha nywele tu
Pesa nyingine akazuia Ganji yake ๐
Moja ya vitu why I love my wife, my woman, ana mapungufu yote kama ambavyo mimi ninayo, ila kwenye my darkest moments in my life, she has been there, and never give up on me.
Hili siwezi kusahau, Kamwe
Tarehe 13/11/2018 ndio niliondokewa na Marehemu Bibi yangu. Hadi nainukia nilijua ndio MAMA yangu mzazi.
Sikukosa kitu kwake, alinilea kwa misingi ya Dini, heshima na upendo.
Yeye ndie alienifundisha kuwa Binaadamu wote ni sawa, na hadi leo hii naishi na hiyo Falsafa.
Innah Lillahi Wainna Illahi Rajiun ๐๐ฝ.