@karennyamunbo This gender will never see heaven😥Yani wanawake mnatakanga aje surely 😅Si ukiachwa unaachika bana...Kwan Samidoh ndio mwanaume pekee😬@karennyamunbo pia sisi tunakutaka Nkt!!!
@karennyamunbo Mapema ndio best!! Na uambie kijana yako kama anajua hauko karibu asishikange simu yangu na kuniambia uko kwa mkutano😅 Everyday I call ananiambia uko kwa mkutano 😅