1/2 Ufundishe moyo wako kujaa matumaini, hata pale ambapo hakuna anayejua unayoyapitia isipokuwa Mungu pekee. Zawadi pekee iliyobaki katika nyakati hizi ni zawadi ya kutokukokosa matumaini,
Katika safari ya maisha hapa duniani hakikisha unaacha alama na sio madoa, kumbuka walikuwepo watu mashuhuli kabla yako ila kinachoishi ni alama nzuri au sifa mbaya hapa duniani ikiwa wao hawapo tena.
Good morning, leo tena kama jana.
Usijilinganishe na mtu mwingine kila mmoja ana safari yake na muda wake Kinachokuchelewesha leo kinaweza kuwa msingi wa mafanikio yako makubwa kesho.”📌
Usingoje maisha yakubadilikie simama, jipange, na yabadilike kwa sababu yako. Ndoto zako hazikuwekwa moyoni mwako kwa bahati mbaya, ziliwekwa hapo kwa sababu una uwezo wa kuzifanya ziwe kweli.💪
Good morning familia and thank you for your attention to this matter 🏃🙏🙏
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako. Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote. Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Zaburi 91:10-12