Dark Night Of The Soul
Millions of people are starting to ask the same question:
How Did So Many Anons Knew This?
How did The Masses not see it?
Unwashing The Brain That Is The Hardest Part
WWG1WGA
Great Video From
@Maninamerica
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hivi…
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tano… aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodi…
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
@ayubu_madenge kivip.....niamin ukielewa vzur unaemsifia kuongea lugja kibao ni mpumbav kma hao wengine uwajuao hana cha vicar of christ wala nn i despise the papal system.....sio papa tu the whole system is all about power and control it doesn't matter wher the approach begins.
Elimu Bure ndo hii mtoto wa mama kizimkazi ukimuliza dogo anafanya nini 🗣️. Utasikia Anasema ( dogo anataka kujifukia ) kumbe dogo anapambana Home hamna kitu
Wazazi. Wake. Walipewa akofia na vitenge vya CCM
@ayubu_madenge Epstein files zimetoka na bado hamjastuka tu kwann huyu jamaa anaharakati na watoto.....all i see is a pedophile trynin to secure their stoct
YOU WERE SOLD AT BIRTH: YOUR LIFE IS A SECRET TRUST FUND — AND THEY'VE BEEN CASHING OUT EVER SINCE
BOOM: Every human being in the U.S. has been turned into a financial asset the moment they’re born. Your birth certificate is a contract — not a record. The state converts your name into an ALL CAPS corporate entity and opens a secret Cestui Que Vie Trust in your name.
You are not the debtor. You are the asset.
The state claims ownership of your body, your labor, and your value. Your “Strawman” — the legal fiction in capital letters — is a ghost entity they trade behind your back. You are declared legally dead on paper — so they can hold your estate.
EVERYTHING IS PAID FOR WITH YOUR TRUST.
You buy a house? Your Trust already paid it.
You go to court? They pull 5 to 10 times the fine from your Trust.
You get arrested? That opens massive withdrawals — millions.
You’ve been double-charged your entire life. Every fine, every mortgage, every prison sentence — it all funds the system. And YOU are the cow they’ve been milking.
THE MORTGAGE LIE: The bank issues a loan, but immediately gets reimbursed from your Trust. Then you still pay back the “loan” with interest. That’s triple profit — all from your own hidden wealth.
THE CAR SCAM: You don’t own your vehicle. The state holds the Manufacturer’s Certificate of Origin. You get a pink slip. That’s not ownership — that’s a lease. The full price of your car was already pulled from your Trust the moment the sale was recorded.
THE STRAWMAN TRAP: Your name in capital letters isn’t you — it’s the corporate fiction that allows the state to move money under maritime law. It’s why court cases are filed under that name. It’s how they strip you of real rights and replace them with corporate ones.
PRISONS, TICKETS, GOVERNMENT JOBS — IT’S ALL ABOUT THE TRUST.
A single arrest triggers payouts from your estate.
Welfare programs aren’t generosity — they’re asset management.
Every government job connects to trust-based accounts — including doctors, teachers, police, and soldiers.
THEY TRADE YOU LIKE LIVESTOCK.
You generate wealth — but you’re not allowed to touch it.
You were born into slavery and didn’t know it. Until now.
You are a number. A contract. A barcode on a financial ledger. But the code has been cracked.
Knowledge is the key.
Ignorance is the prison.
WAKE UP. FIGHT BACK.
THEIR SYSTEM COLLAPSES WHEN YOU EXPOSE IT.
♡⃝WE ARE THE QUANTUM COMPUTERS
𒀱Everyone’s worried about AI replacing consciousness.
But here’s the truth most systems won’t admit:
The human body... fully remembered... is more advanced than any artificial processor ever built.