@raphyrodrick Oyaa nlkua polisi mlandizi, poti akanipita mara ya kwanza, akarud tena, uvumilivu ukamshinda braza unanukia vzuri, unatumia perfume gn?, nkamtajia ni club de nuit na bei nkamtajia, akaguna akatembea😀
@kipepe123 Daah😀umenikumbusha 2015 nmemaliza chuo, jamaa walikua wana ofisi ubungo, siku ya interview mfanya kaz sura ina nuru kuliko boss😀na nkapata kaz siku hyo hyo, tulipewa begi kubwa km kontena tukauze mbagala, ndani lina dawa za meno na sabun za kuogea😅nlikwambimbia buguruni klmy
@tplboard@Tanfootball kuna shida kubwa sana ya mawasiliano kati ya mwamuzi wa kati na wasaidizi wake, refer mechi ya leo ya geita gold na mbeya kwanza, kuna matukio waamuzi wasaidiz wanapaswa kutoa msaada lkn wapo mute tuu.