Tunauza Bati za ALAF,SUNSHARE,KING LION, SUNBANK, POLARIS NA SUNDA:, Weka Order yako Nasi Upate free Delivery. Mbao ngumu, nyepesi na LAKE STEEL zinapatikana.
#Versatile matte #ChengaChanga
Wazee unaonaje Colour ๐จ Charcoal grey.
Bati yenye muundo wa kigae, hii utaipata kwa Tsh 21,000 kwa mita moja, Punguzo lipo.
Kumbuka ununuapo usafiri ni bure popote ulipo Tanzania ๐
@BuildMaterials_#versatile#mabati#Tanzania
Ipo njoo na kibunda tuongee bei, yani kama unavyo itazama ipo hivi hivi, ezeke kijanja wewe, kuwa watofauti.๐ซฐ
#mgongompana
Gauge 28
ununuapo usafiri ni bure popote ulipo Tanzania ๐
@BuildMaterials_#mabati
Charcoal grey color ๐จ chenga chenga #matte
Gauge 30 Tsh 416,000/= bando
Gauge 28 Tsh 912,000/= bando
nyumba ๐ก imara ulindwa na kupendeza kwa mabati imara.
Nunua bati upate ofa ๐๐
usafiri ni bure popote ulipo Tanzania ๐
@BuildMaterials_#mabati#grey
Chagu ukipendacho kwa gharama nafuu, nyumba๐ก imara.
1- mgongo mpana
2- mgongo mdogo
๐จ rangi kijani
๐urefu wa mita tatu 3.00
๐upana 82cm
bando pisi 16 Tsh 370,000/=
๐ usafiri bila gharama tunafikishia popote ulipo Tanzania ๐น๐ฟ
@BuildMaterials_#mabati#mbao#lakesteel