Kitu watu hawajuangi kuhusu hii mtaa yangu kasarani, ni tuko na kasarani pande mbili. We have kasarani for peasants and Kasarani for Bonoko middleclass. Bonoko middleclass ni sisi wa huku juu,seasons na equity,sisi hatuna shida mingi kama wale wa huko chini,ata sewage yetu hainukangi saana,juu hapo ndio inaanzia. Na ata tuko na KFC na Naivas apo karibu tu,the only major issue we have is here 85.% of women here have active Kaswende,inabidi tumeingisa brungo kwa maji ya chumvi kabla mechi,chumvi imalise bacteria ya kaswende
Lakini sasa kasarani for pesants,huko chini ukiteremka kama unaenda mwiki. Huko sasa ndio kuna combination ya umalaya,pombe fake,Marafiki fake na wizi. Kule mikora ilinikamata shingo namna hii nikaskia inaongea kiburundi ikinipora,saa nne usiku. Kumbe wale jamaa huku ndio wanakujanga kubangaisa wakingoja mambo itulie waanze kuuza kahawa. Kule ata wanakuibia sukuma umetoka kununua kwa kibanda bwana,the gherrooz!
Kwaivo Tafadhali warembo mimi nikiwaambia mkuje kasarani mjue nawaita huku juu kwa middle class,kwa mababi,sisi ata Tuko na fridge. Thank you for your attention to this matter,Sande sana
Before you complain about Monday, traffic, bills or life in general, remember someone is praying for the opportunity you already have.
Take the Ls, count your blessings, and go hustle.
Tuko alive, that's a win.