Zamani Waafrika walikua wanapewa vioo, shanga wanagawa dhahabu, sasa hawa wa kwenye mpira wanaongoza magoli mengi, wanapewa nini wanafungwa emu tuambieni nyie watu mliosoma historia😂😅🙌🏼
Wee leo siandamani nimeona watu ambao dam zetu haziendani toka zamani wamevalia sare za rangi ya choroko sehem tofauti tofaut
Mmoja tuligombea manzi O level😂
Wapili tulikua tunam tania had analia😂
Watatu alikua hakosi kwa noise maker😂
Wee wanaeza nivunja hat bandama😂😅🙌🏼
Kila nikipanga mambo ya muhim waja wana haribu, nilipanga nikajitambulishe ukweni 30 October yaliyo tokea mnayajua🤒, nikapanga ninunue gari ghafla mafuta yakapanda🙄, basi nimepanga nikatoe mahali tarhe 7/7 watu wamepanga kuandanama anyway nitapanga mwaka mwingine🚶♂️➡️
Kipindi unasoma prepo ulikua unaona kama wanakutesa😂, ila kwenye Kombe la dunia unavyo kodoa kama siyo wew ambae tulikua tunak wekea karatasi mdomon kam sigara 🚬😎
Naona watu mnapost Wafanyakazi wenzenu bora wa Mwaka watu mna ajira jamani🙂↔️, mnatuumiza siye tunao view (jobless)
Kweli umzaniae ndie kumbe siye tunapost wote memes na ana reply “nitumie hii”kumbe kaajiriwa😁🚶➡️