Hujashika simu siku nzima upo bize na kazi unakuja kuangalia simu jioni unakuta hakuna missed calls wala meseji whatsap zaidi mameseji ya voda tu na watu wa mikopo hapo ndio utajua unaishi maisha ya upweke sana ๐
Imagine unaona mwili wa ndugu yako mtandaoni upo monchwari halafu wanasema video za kutengenezwa ๐ญ.....nchi ina majibu marahisi hii kila kitu kwao watu watasahau watapuuza