Tumekubalianaje?...Sanamu la CLATOUS CHOTA CHAMA, THE GREAT Mwamba wa Lusaka @ClatousCC linajengwa wapi?. Afanalekiii! What a player. Yupo kwenye Dunia yake.
SIMBA HONGERENI KWA KUFUZU ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KIBABE....Woow! 6-0 dhidi ya Jwaneng Galaxy?,
Tuliweka nia na tukajiandaa kwa kila namna kuhakikisha tunashinda mchezo huu na kufuzu robo fainali. Tumeweza kwa pamoja kama familia ya Simba. Pongezi kwa kila Mwanasimba ๐ช
๐ธ @rabbihume
Alhamdullilah๐๐พ Ahsanteni sana wapambanaji wenzangu tumeonesha thaman ya kuvaa jersey ya @simbasctanzania ,tumeonesha ukubwa wa Simba,Haikuwa rahisi ila tumepambana mpaka tone la mwisho Ahsanteni mashabiki zetu nyie ni watu muhimu kwetu๐๐พ Inshaallah Next time tutakuwa bora zaidi