Muhuni wangu now kaanza moja anasubiria hadi mshahara uingie. Na mishahara kama mnavyoijua huwa haitoshi daily.
Alafu yule aliemuharibia msela nae hapati chochote kwenye ile Kampuni nyingine maana ndio bei elekezi ya "mikanda" kwa sasa.
Kama sio UCHAWI ni nini?