Akizungumza Bungeni leo, Mhe. Patrobas Katambi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, amesisitiza maelekezo kwa IGP Camillus Wambura kuhusu kutotolewa kwa vibali vya mikutano ya hadhara kwa kipindi hiki kwa vyama vyote vya siasa.
Msisitizo huo unaweka mbele maslahi ya taifa kwa kulinda usalama wa nchi, kudumisha amani na kuhakikisha utulivu unaendelea. Katika kipindi hiki, ushirikiano wa vyama vyote vya siasa, viongozi na wananchi katika kuheshimu sheria na kulinda mshikamano wa kitaifa ni muhimu kwa maendeleo endelevu ya Tanzania.
Amani kwanza, usalama daima, Tanzania mbele.
Dkt. Samia Suluhu Hassan aendelea kuimarisha sekta ya afya kwa uwekezaji wa vifaa vya kisasa vya matibabu ya saratani. Akiwa KCMC, amesisitiza ubora wa huduma kwa wananchi kuwa ndiyo kipimo cha mafanikio ya uwekezaji huo.
Dkt. Samia Suluhu Hassan aendelea kuimarisha sekta ya afya kwa uwekezaji wa vifaa vya kisasa vya matibabu ya saratani. Akiwa KCMC, amesisitiza ubora wa huduma kwa wananchi kuwa ndiyo kipimo cha mafanikio ya uwekezaji huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa Jengo la Tiba ya Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 24 Juni 2026. Ujenzi wa kituo hiki unaimarisha huduma za kibingwa za matibabu ya saratani nchini na kusogeza huduma muhimu za afya karibu zaidi na wananchi wa Kanda ya Kaskazini.
Tanzania is entering a new infrastructure era. 🇹🇿
From the Dar Port–Kibaha Expressway to the Morogoro–Dodoma dual carriageway, TANROADS is inviting global investors to partner in some of the country’s most strategic transport corridors under PPP arrangements.
This is how nations build for the next generation attracting capital, expanding connectivity, and unlocking economic growth.
Rais Samia Aendelea kuboresha mazingira ya Uwekezaji, Kiwanda cha Bilioni 600 chajengwa Dodoma
Kampuni ya A1 Iron & Steel Tanzania Ltd inaendelea na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha uzalishaji wa bidhaa za chuma mjini Dodoma, katika hatua inayotajwa kuakisi mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. Kiwanda hicho chenye thamani ya takribani TZS bilioni 600 kinatarajiwa kutoa ajira 1,500 kwa Watanzania, kuongeza thamani ya malighafi za ndani, kupunguza uagizaji wa bidhaa kama misumari, nyaya, mabati na nondo, sambamba na kuimarisha uwezo wa nchi katika uzalishaji na mauzo ya nje. #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Kwa heshima na mshikamano wa Afrika, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuaga kiongozi wa Namibia — urithi wa uongozi bora unaishi milele
Diplomasia ya kweli na urafi wa kiudugu.
Miradi Mikubwa 8 ya PPP Yatekelezwa Kuimarisha Uchumi na Miundombinu Nchini
1. Kituo cha Pamoja cha Biashara Kariakoo – Dar es Salaam (USD 13.8 milioni)
2. Bandari ya Dar es Salaam (DP World) – Uendelezaji na matengenezo
3. Bandari ya Dar es Salaam (ADAN) – Uendelezaji wa kituo cha makontena
4. DART Awamu ya I (Barabara ya Morogoro) – USD 81.4 milioni
5. DART Awamu ya II SP2 (Chang’ombe) – Mabasi ya CNG
6. DART Awamu ya II SP1 (Kawawa Kusini) – USD 52.4 milioni
7. Ukarabati wa Reli ya TAZARA – USD 1.4 bilioni
8. DART Awamu ya II (Mbagala – Kariakoo) – USD 220.6 milioni #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Rais Samia Aendelea kuboresha mazingira ya Uwekezaji, Kiwanda cha Bilioni 600 chajengwa Dodoma
Kampuni ya A1 Iron & Steel Tanzania Ltd inaendelea na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha uzalishaji wa bidhaa za chuma mjini Dodoma, katika hatua inayotajwa kuakisi mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini. Kiwanda hicho chenye thamani ya takribani TZS bilioni 600 kinatarajiwa kutoa ajira 1,500 kwa Watanzania, kuongeza thamani ya malighafi za ndani, kupunguza uagizaji wa bidhaa kama misumari, nyaya, mabati na nondo, sambamba na kuimarisha uwezo wa nchi katika uzalishaji na mauzo ya nje. #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Thamani ya biashara kati ya Tanzania na Namibia:
🔵 Mwaka 2020: TZS bilioni 11.3
🔵 Mwaka 2021: TZS bilioni 17.8
🔵 Mwaka 2022: TZS bilioni 17.0
🔵 Mwaka 2023: TZS bilioni 20.3
🔵 Mwaka 2024: TZS bilioni 20.0 #MapendekezoYaMaridhiano#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Tanzania na Namibia Zasaini Hati Nne za Ushirikiano Kuimarisha Uhusiano wa Kidiplomasia
1. Ushirikiano katika masuala ya biashara.
2. Ushirikiano katika maendelo ya biashara ndogo na za kati.
3. Ushirikiano katika ulinzi.
4. Ushirikiano kati ya Manispaa ya Mji wa Zanzibar na Manispaa ya Mji wa Swakopmund. #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za uwajibikaji na kufuta maudhui yanayochochea ghasia haraka. Hii itasaidia kulinda vijana na amani ya taifa #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Kwa mapendekezo yake, Tume imesisitiza kuimarishwa kwa elimu ya uraia na uwajibikaji kwa vijana kupitia shule na vyuo. Serikali na wadau wanapaswa kuanzisha programu maalumu za kuwafundisha vijana kutambua uchochezi wa kisiasa na mitandao ili wasitumike kama zana ya vurugu katika uchaguzi ujao. #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Tume imependekeza kuanzishwa kwa mifumo ya majadiliano ya kitaifa inayohusisha vyama vya siasa, viongozi wa dini na jamii kabla na baada ya uchaguzi. Majadiliano haya yalenge kutatua changamoto za kisiasa na kiuchumi ili kufikia maridhiano na kuzuia kutumia vijana katika ghasia #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Mapendekezo ya Tume yanataka kuimarishwa kwa uwajibikaji wa viongozi wa kisiasa kwa vitendo na kauli zao zinazochochea ghasia. Sheria mpya zinapaswa kuweka adhabu kali kwa wanasiasa wanaotumia changamoto za wananchi kuwachochea vijana kufanya vurugu #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
Tume imependekeza Serikali iweke mikakati madhubuti ya kuwawezesha vijana kiuchumi na kielimika ili kupunguza kutoridhika ambako kunatumika na wanasiasa. Ajira, elimu na fursa sawa zitawafanya vijana kuwa na kinga dhidi ya uchochezi wa mitandao na siasa #MapendekezoYaMaridhiano
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
MWINYI AMJIBU HECHE: CHADEMA NI "SACCOS", SIO CHAMA CHA SIASA
Katibu Mkuu wa UVCCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Ndg. Mwinyi Khalid, akizungumza leo, Juni 21, 2025, katika Mahafali ya Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Mwanza yaliyofanyika Ukumbi wa BOT jijini Mwanza, amemtaka Makamu Mwenyekiti wa chama alichokiita "SACCOS ya kisiasa" kuacha kueneza propaganda dhidi ya CCM, akisisitiza kuwa CCM kina utamaduni wa kidemokrasia na mabadiliko ya uongozi yanayofanyika kwa amani.
"Kuna Makamu Mwenyekiti wa SACCOS moja ya kisiasa amekuwa akipita vyuoni kueneza propaganda na kudai kwamba ndani ya CCM kuna nepotism. Tunamwambia aangalie kwanza ndani ya SACCOS yao, ambako hata mabadiliko ya kawaida ya uongozi yamekuwa chanzo cha migogoro, chuki na makovu ya uchaguzi. Ndani ya CCM, kubadilishana uongozi ni utamaduni wa kawaida na sehemu ya kujenga taasisi imara," alisema Mwinyi.
Aidha, Mwinyi alisema CCM ni chama kinachotoa fursa kwa kila Mtanzania mwenye uwezo, akibainisha kuwa licha ya kutotoka katika familia ya viongozi wa kisiasa, chama kilimuamini na kumkabidhi nafasi ya Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa.
Kwa upande mwingine, aliwataka wanafunzi wa vyuo vikuu kuzingatia ukweli, sera na maono ya CCM badala ya kupotoshwa na kauli za kisiasa zisizo na msingi.