have been the soundtrack to countless dances!
🎵 **Songs to Guess:**
1. "Song Title 1"
2. "Song Title 2"
💬 **How to Enter:**
1. Comment below with your guess for the band name, the artists, and the songs!
2. Make sure to tag a friend who loves music!
🎁 **Prizes:**
Two lucky
Photo of Paul Alexander who is one of the last people living in an iron lung. He contracted polio in 1952 at the age of six. He has been using the iron lung for over 70 years, and is currently 77 years old.
Navy SEALs are some of the world's most elite warriors.
What's their secret weapon?
Breath control.
Here's how they train it (and how you can master it too):
Huyu sio mbu yule mdudu bali ni micro camera ya kijasusi (spy camera), lakini kinang'ata kama ilivyo mbu yule mdudu wa marelia. Dunia inazunguka kwa speed sana, wakati nyie mnawekeza kwa chama kutawala milele, Huko duniani USA, Urusi, Uchina Uk nk wanaielekeza dunia kule watakako wao sio dunia itakako.
Kifaa hiki kinakung'ata kama mbu anavyong'ata na kazi yake kubwa ni kuchukua sampuli za damu kwaajili ya DNA na mengineyo, au kinaweza kutumika kuchoma sindano ya sumu nk. Kinaweza kutumwa kutoka Langley hadi Mbutu block E, Kigamboni nyumbani kwangu kining'ate mimi au familia yangu na kikaondoka na damu zetu mpaka USA tayari kwa sampuli za DNA kwa shughuli zao. (Zingatia kuna military bases support nyingi kutoka Langley hadi kufika Mbutu Block E. Kigamboni)
Kifaa hiko kimetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu na kinachajiwa kikiwa mbali bila kuhitaji kisimame ndio kiunganishwe na umeme, Kinatumia muundo unaoitwa Inductive charging (also known as wireless charging) uses an electromagnetic field to transfer energy between two objects through electromagnetic induction. Energy is sent through an inductive coupling to an electrical device, which can then use that energy to charge batteries or run the device.
Katika ulimwengu huu mpya, hiki ndio kifaa hatari zaidi kwa ujasusi leo, kikitumika kwa hujuma dhidi ya maadui na kupata taarifu za kitabibu dhidi ya adui yoyote yule na kuzitumia kuhujumu, kifahaa hiki kinauwezo wa kutambua binadamu yoote na tabia zake na magonjwa yake.
Kwenye cable info's kati ya Langley, Landon, Beijing na Moscow kwa kila mwaka kumekuwa na habari za kijasusi zinazohusu teknolojia mpya za kijasusi za kila aina (Nyingi nimezieleza katika Kitabu Kipya cha MOSCOW kwa mifano halisi na namna zilivyotumika katika vita vya Ukraine). Kwaundani zaidi soma Kitabu cha Ujasusi.
In case umesahau au ulikuwa hujui, Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Barani AFRIKA ni YERICKO YOHANESY NYERERE kutoka TANZANIA.
Sifa na heshima ni za Watanzania!
Idumu Mizimu!
Ok Pata KITABU cha Ujasusi kwa Ofa ya SIKUKUU ya 30,000 badala ya Bei halisi ya 80,000/= popote ulipo.
Nunua kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere)
Ndani ya Dar ni free Delivery, Nje ya Dar nauli ni 8,000/=.
Dah wakati natoka mjini kuelekea Mbezi Beach na kuona foleni zilizosheheni upande wa pili nimewahurumia sana. Maisha gani haya. Sijui mnapoteza saa ngapi njiani.
Karibuni kwetu
Balozi wa Kujiteua
Jamhuri ya Watu ya Kigamboni
Kuna wale watu hata ikitokea kampuni wanapofanya kazi wanahitaji kupunguza wafanyakazi kutokana na hali ya uchumi, they are usually the last person in line kuachishwa kazi.
Na hata ikitokea wanaachishwa kazi, huwa haiwachukui hata mwezi 1 kupata kazi nyingine tena inayolipa vizuri zaidi wakati wengine wanaweza kukaa benchi hata mwaka 1.
The level of competence na uwezo ya hawa watu kwenye sekta waliobobea inafanya the level of difficulty kuwapata na kuwa replace kuwa ngumu sana.
Pamoja na ukweli kwamba kila mtu is replaceable, ila ni muhimu utafute namna, watu wapate ugumu kuku replace, by being a valuable, exceptional and a competent human being.
Hii inahitaji ufanye years of training.
Na ukianza kufanya mazoezi,
Hautakiwi kuwa na haraka kupanda kwenye majukwaa na kuanza kuhubiri vitu usivyo na uhakika navyo, kwasababu watu watakupa nafasi, na watakuskiliza na wataenda kujaribu ulichowaelekeza.
Na endapo watakosa matokeo mazuri kutokana na maelekezo yako, you will never be trusted again.
You don't have to learn everything, but you have to find one area in your life hata ukiwa usingizini, you will still be one of the most valuable and competent brains out there.
Asante Mungu 🙏🏽
Great team effort away from home , Asante kwa kila mtanzania aliekua nasi kwenye safari nzima ya qualifications, bado tunahitaji support yenu….
Mungu na Masela 💪🏽🇹🇿⚽️
Mmarekani mweusi wa kwanza kumiliki stesheni ya Redio USA, Manager aliyekuza Muziki wa wengi mfano Michael Jackson, Whitney Houston, Boys II Men nk, hata wakamuita “Black Godfather”. Mshauri wa Obama na Bill Clinton na Wanamichezo wengi, Clarence Avant amefariki akiwa na miaka 92
HEALTH BENEFITS OF MARIGOLD Supports skin healing.Contains natural antisepticanti-inflammatory properties.Comprises pre-cursors to the production of antioxidant Vit A.Reduces eye infections and protects from UV and oxidative damage