YAJUE MAMBO WANAYOZINGATIA TRA KATIKA KUKADIRIA USHURU WA GARI UNALOTAKA KULIAGIZA KUTOKA NJE YA NCHI
Inashauriwa kuwa, kabla hujaamua kuagiza gari kutoka nchi za nje (Japan, Dubai, Singapore, USA etc) inabidi ujue makadirio ya ushuru ili uweze kujiandaa vizuri kulipa.
Sababu nyingine inayofanya ushindwe kutoa gari yako bandarini ni iwapo Agent wako ataingiza taarifa zisizo sahihi hivyo kufanya ushuru uliolipwa usisome TRA jambo linaloweza kukulazimu kutakiwa kulipa ushuru kwa mara ya pili au ukalazimika kutumia gharama za ziada kufuatilia.
Sasa basi kuna uwezekano mtu asie mwema akatumia zile waya zilizokatwa na akaziunganisha ili kuwasha gari na kuondoka nalo kiulaini kabisa.
Ushauri: kama unatamani gari la push start ni bora uuze ulilokua nalo ununue lenye mfumo wa push start iliotoka nalo kiwandani.
JE NI SALAMA KUBADILI MFUMO WA GARI YAKO KUTOKA FUNGUO KWENDA PUSH START?
Magari mengi ambayo yalitengenezwa kabla ya mwaka 2008 yamekuwa na mfumo wa kuwasha wa ufunguo. Lakini kadri technologia inavyokua sasa magari yanawashwa kwa mfumo wa βpush startβ.
Tatizo la pili ni kuwa, kwa sababu wanaondoa kabisa kufuli na kufuli ndio lina connector za umeme zinazowasha gari na kuweka switch on na acc, mafundi wanakata waya na kuziunganisha kwenye mfumo wa push start (kumbuka mfumo huu sio rasmi na una mapungufu mengi).