@EngMapundajr@Allan_Lucky Bonge moja la page...kwanza me napenda madogo wanavyotambiana,kuna mpumbavu anaitwa Leon dogo anakwambia kapiga 'A' Tisa including additional maths ...anasikitika Sana kupangiwa ilboru alitaka kwenda kibaha akawanyooshe😂🙌🏾
@peterjaluo007@millardayo Haiwezi shuka itazidi kupanda tena tegemea na ongezeko la gharama kwenye bidhaa nyingi za viwandani kwakuwa mostly vyombo ushafirishaji na viwanda vinatumia dizeli ambayo imepanda tena.
WAPWA Kama Upo Ndani Ya Nchi Tumia AKILI Zako, Ukiona Post Yoyote Imepostiwa Yakumtusi Mzito Yoyote Kaa Nayo Mbali Acha Kukoment Nakurepost Pita Kama Unaaga Maiti KITAKULAMBA Nawapenda Ndio Maana Nawachana Ukweli. MAMBA Akikuambia KIBOKO Anaumwa Muamini, Kama Utakaza FUVU Sawa.
@018Salama I think diploma ni best option kwa boys na kwa mazingira yetu ya kibongo bongo..ila kwa mtoto WA kike aende Tu advance kwakuwa maisha ya diploma kwa mtoto WA kike ni hatarishi mnooo,akose mkopo alafu home kuwe majalala hapo atafanya vitu huwezi imagine.
@nseheye99020@Kicheche_jr Hii sio ndefu ni miyeyusho Tu ya kutengeneza njia ya chunya makongorosi Tabora...hii njia ungekuwa mkeka hapo silali ni kugusa Tu.
@millardayo Yaaan hii habari kila nikiisikia toka mwaka Jana..yaaani roho inaniumaaa Vibaya sana,yaan unataka kubomoa kitu kinachofanya kazi wakati tuna maeneo kibao ya kujenga kitu kama hicho kusema ukweli hapa tutaonekana kama nchi Hatuna akiliii wazee.