Wakati wa siasa za makundi ndani ya CCM, Emmanuel John Nchimbi alichagua kuwa kundi la Lowasa.
Hii ilikuwa ni move ya kwanza na ya hatari ndani ya kambi ya “CCM Mtandao” ambao walishaanza kugawana mbao baada ya Lowasa kujiuzuru uwaziri mkuu
Uzi👇
NCHIMBI: the circus wizard
@tanescoyetutz Tanesco ubungo mnakwama wapi mimi kwangu toka jana kuna shida ya umeme kwenye bracket nimeshapiga simu mara kadhaa na kupigiwa zaidi ya mara 20 lakini hakuna fundi anyetokea consumer rights is totally violated please someone intervene this is my ticket number registered yesterday