Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Mambo ya hovyo kabisa haya fikiria watu wote wanaomuunga mkono Lissu wamekatwa kwenye kugombea kamati kuu isipokuwa Pambalu, halafu chawa wa Mwamba wamepitishwa wote kama walivyo. Najaribu kuwaza hivi kweli hawa wenzetu dhamila yao ni kuishinda dola? Au na wenyewe ni sehemu ya dola? Kwamba chawa Asenga na Naftari ni bora kuliko mzee Ikuwo, Askofu Mwanamapinduzi, Rose Mayemba na wengine?
Naomba kuuliza Samia Suluhu haelewi kuwa #Tanzania haina machifu? Haelewi kuwa machifu waliondolewa kwa mujib ya SHERIA na wanakatazwa Kwa SHERIA kutenda function ya kichifu?
Nani anaemshauri Samia Suluhu jamani?
Kaapa kulinda KATIBA na SHERIA za Nchi hii, kwanini anafanya hivi?
Updates coming from #Zanzibar through opposition @ACTwazalendo about the election related violence that happened at night. 4 identified civilians have been killed 👇🏽
#ZanzibarLivesMatter
Alert
👉Whatsapp calls restricted in Tanzania ! Shame and sad
👉Meko ameharibu sana hii nchi kwa kumsikiliza dikteta mwenzake Kagame
👉Lakini tutakutoa tu yaani hatutanii we are serious!
#FreedomOfSpeech
Wakati walipitisha sheria inayokataza matumizi ya VPN, nilijua ni kwa lengo ya ku-restrict wananchi kupata access ya internet. Utakuta wao washahamasishana WOTE wana VPN lakini mwananchi ni kosa
TUMIENI VPN - ni haki yetu kupata habari! #ChangeTanzania#ZanzibarLivesMatter
Taarifa!
Pemba:
Jimbo la Wingwi wamepiga Risasi za moto watu wanne (4) na 1 Amefariki.
Alofariki Masoud Salim Fadhil, kijana anaekisiwa kuwa na miaka 16.
#ZanzibarLivesMatter#UsikuWaMashahidi
Alert
👉Vikosi vya wanajeshi na TISS wanapanga kwenda kumzuia @SeifSharifHamad asitoke ndani kuanzia leo !
👉Meko ulionywa hukusikia sasa damu zimetapakaa mikononi mwako
I know we are many with #Tanzania - Unguja & Pemba - in our heart & minds tonight, and in coming days. Many conversations are connecting across oceans & continents.
Peaceful elections, please! #TanzaniaDecides2020#TanzaniaElections2020
Hizi ni risasi za SMG zinaokotwa mitaani huko Pemba.. Meko must go! Huwezi kuuwa watu kwa tamaa za kuweka kiongozi ambaye hata mkewe tu hatamchagua maana ni zezeta na hafai
Alert from Pemba
👉 12 people killed
👉 38 severely wounded
👉 several not know their whereabout!
👉Police are hiding and collecting people who are wounded
In #Tanzania users are reporting @Twitter is crawling slowly to a halt and is restricted
Kama unapata Twitter kwa shida reply hapo chini na kama uko tayari tutajie mkoa uliopo ili tuweze kujua tatizo.
#ChangeTanzania#ZanzibarLivesMatter