Ukianza kukua successful at a young age unafaa kukua extra careful na ata ikiwezekana shikilia kanisa.Unakuanga an inch away from early death because iyo pesa inakuweka vulnerable to alot of dangers. sio drunk accidents,sio mchele babes,sio jealous friends,sio wachawi.