Je unafahamu kuwa bidhaa za Dabaga kama vile Dabaga Tomato Sauce na Dabaga Chilli Sauce huzalishwa na Kampuni ya Chai Bora?
Kama bado hujatembelea banda letu katika maonesho ya Saba Saba, tupo Kilimanjaro Hall
#sabasaba2019#ChaiBora#JisikieNyumbaniNaChaiBora#Dabaga#CafeBora
Tuna furaha kubwa baada ya kushinda Tuzo ya Banda Bora katika kipengele cha Chakula, Dawa na Vinywaji katika Maonesho ya 43 ya Saba Saba.
Tembelea banda la Chai Bora lililopo Kilimanjaro Hall.
Jisikie Nyumbani na Chai Bora.
#sabasaba2019#ChaiBora#JisikieNyumbaniNaChaiBora
Chai Bora ina chai za aina mbali mbali kukidhi mahitaji ya kila mtu. Tembelea banda letu katika maonesho ya Saba Saba ujionee bidhaa zetu za chai.
Tupo jengo la Kilimanjaro. Karibu!
Jisikie Nyumbani na Chai Bora
#sabasaba2019#chaibora #jisikienyumbaninachaibora#dabaga
Tembelea banda letu katika maonesho ya Saba Saba upate nafasi ya kuona na kuonja bidhaa zetu.
Tunapatikana katika jengo la Kilimanjaro. Karibu!
Jisikie Nyumbani na Chai Bora
#sabasaba2019#chaibora#jisikienyumbaninachaibora#dabaga