Jiji la Cairo Misri lina watu Millioni 23+ tena ni miongoni mwa majiji 10 yenye watu wengi zaidi duniani. Kwa Idadi hii usafari ndani ya jiji hili ungekuwa tabu, Ila wao wamewekeza vizuri katika usafiri wa Umma zikiwepo treni za Umeme.Mtu anavaa suti anapanda treni anaenda kazini