This is #ChangeTanzania movement of citizens exercising their right to #FreedomOfExpression | for activism contact via WhatssApp & Telegram +1 (862) 438-3337
Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu
Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya
Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53
Jumla 405
Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu
Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518
Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494
Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24
Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report
Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi
Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Suluhisho ni Katiba inayofanya Ibara ya 8 kuwa haki inayodaiwa mahakamani, yenye madaraka yaliyogawanywa na njia halisi za wananchi kuwawajibisha viongozi. Mamlaka ni yetu, tuyadai! #KatibaMpya
Uwazi si hisani ya kampuni wala serikali, ni haki ya mwananchi. Kama EACOP ni mradi wa manufaa kwa wote, basi haupaswi kuogopa maswali, nyaraka za wazi wala ukaguzi huru. Tunadai uwazi kamili kabla, wakati na baada ya mradi. Ukimya wenu si jibu hata kidogo. #EACOPniTISHIO
Ushiriki wa wananchi hauwezekani bila taarifa. Bila haki imara ya kupata taarifa za Serikali, kama bajeti, mikataba na matumizi, wananchi hawawezi kuiwajibisha Serikali ipasavyo. #KatibaMpya
Tunaomba mambo matatu: taarifa kamili mapema kabla ya maamuzi, nafasi ya kweli ya kuuliza na kupinga bila hofu, na majibu yanayoeleweka kwa Kiswahili rahisi. Haya si madai makubwa wala ya kisiasa. Ni misingi ya haki ambayo kila mradi wa umma unapaswa kuiheshimu. #EACOPniTISHIO
Rais ana mamlaka makubwa ya uteuzi: majaji, tume, wakuu wa taasisi. Walioteuliwa huwajibika kwa aliyewateua, si kwa wananchi. Hapo msingi wa Ibara ya 8 unapotea. #KatibaMpya
Uwazi hauishi siku mradi unapozinduliwa rasmi. Ni wajibu wa kila siku, kila mwaka: kutoa ripoti za mara kwa mara kuhusu usalama, uvujaji, malalamiko, fidia na mapato. Mradi unaotaka kuaminiwa kwa miaka mingi unapaswa kuripoti kwa wananchi kwa miaka yote hiyo. #EACOPniTISHIO
Mbunge akishindwa kazi, mwananchi hana njia ya kumwondoa kabla ya miaka 5 kwisha. Mamlaka ya wananchi yanaishia siku ya kupiga kura tu. Tunahitaji utaratibu wa kuwarejesha wawakilishi. #KatibaMpya
Fedha za kujenga EACOP zinatoka wapi, kwa masharti gani, na nani atabeba deni au hasara iwapo mradi utakwama? Wananchi wa Tanzania wana haki ya kujua kama kodi zao au mali za umma zimewekwa rehani. Mikopo na dhamana za umma zinahitaji uwazi kamili wa umma. #EACOPniTISHIO
Wananchi ndio chanzo cha mamlaka, lakini Wakuu wa Mikoa na Wilaya huteuliwa, hawachaguliwi. Wanatoa amri kwa wananchi ambao hawakuwapa ridhaa. Uwajibikaji uko wapi? #KatibaMpya
Kampeni za matangazo si uwazi. Picha nzuri, video za kuvutia na kauli mbiu za maendeleo haziwezi kuchukua nafasi ya nyaraka halisi, takwimu kamili na majibu ya maswali magumu. Wananchi wanahitaji ukweli wote, si hadithi iliyochujwa ili kuwafurahisha wawekezaji. #EACOPniTISHIO
Je Wajua? Ibara ya 8 inasema mamlaka yote ya Serikali yanatoka kwa wananchi. Lakini Ibara ya 7(2) inasema misingi hii haiwezi kudaiwa mahakamani. Haki usiyoweza kuidai ni ahadi tu, si haki. #KatibaMpya
Aisee mambo hajakaa sawa kabisa! Mnamzuia Nchimbi atoke - kama anaumwa je? Mbona mambo ya kikatili?
Nchimbi kwa mfano akiugua na kufia ndani mtasababisha mtafuruku kubwa! Acheni huu ujinga!
Shida mlishajiambia eti watanzania hawana uwezo wa kumdai mtu!
Ni hivi kinachosubiriwa ni SABABU tu! Wananchi kama kuchoka tumechoka haswa! Na uzuri tumechoka pamoja na maaskari na watumishi wa umma!
Siku yenu ya anguko mtashangaa watakaocheza kwa furaha barabarani!
Na sisi tuache kulaza damu! Watatupoteza mmoja mmoja! We need to get our act together!
#FreeNchimbi #FreeTunduLissu #FreeAllPoliticalPrisoners #SamiaMustGo
Absolute rubbish 🚮
Huyu Paul Chacha ndo wanataka aje kuwa mwenezi wao - mnasikia alivyo FASCIST?!
Hii ni fascism mnachohubiri @ccm_tanzania
Polisi na JWTZ siyo mali ya CCM kwa sababu mamlaka ni ya wananchi! Ninyi mngekuwa na hiyo mamlaka kama kweli kungekuwa na uchaguzi huru na mkashinda! Na hata kwa mazingira hayo mamlaka mngekuwa mmekasimishwa si absolute
Sasa hakukuwa na uchaguzi WOWOTE. Mlijitangaza baada ya kumwaga damu - nyie ni WADHALIMU! Mmepindua mamlaka ya wananchi na ni UHAINI!
Nashangaa polisi na jeshi wanawasikilizeni! Mlichofanya ni COUP D’ETAT! Mmepindua na kuchukua madaraka kwa damu!
Mnanuka damu na dhulma!
Ila msisahau #WenyeNchiWananchi
Hamuwezi kututawala watu milioni 70 bila kukubalika! Na mnajua!
Mnaongea hivi maana mmeshaanza kuogopa mnatutisha ila sisi hatutishiki maana mwisho wenu umekaribia na #TutaelewanaTu
‼️🚨Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi
Ametekwa‼️
Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyekuwa Makamu haramu wa Rais wa
Tanzania, kutoka Tanganyika alijiuzulu tarehe 24 Agosti 2026 na kufukuzwa kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 26 Agosti 2026 na sasa ametekwa.
Dkt. Emmanuel Nchimbi alilazimika kujiuzulu kufuatia wito wake wa kudai katiba Mpya, Haki, usawa, uwajibikaji, pamoja na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuheshimu misingi ya utawala bora.
Tangu kutekwa kwa Dkt. Nchimbi, Serikali haramu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jeshi la Polisi halijatoa taarifa yoyote zaidi ya kauli za Waziri
haramu wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi kuunga mkono kundi la kigaidi linaloitwa 'Chui Weusi' linaloongozwa na Sheikh Mwaipopo kuelekezwa kutoa vitisho dhidi ya Dr. Nchimbi.
Tunaelekeza kwamba iwapo Dr. Nchimbi hataachiwa huru hadi tarehe 10 Oktoba 2026, zoezi la kumtafuta nyumba kwa nyumba litaanza rasmi hadi atakapopatikana.
Tunaelekeza GenZ kufanya maandalizi yote ya msingi kwa ajili ya kuwafikia
wageni wote wanaokuja kwenye mikutano ya kimataifa katika majiji ya Dar es Salaam na Arusha kushinikiza kuachiwa huru mara moja kwa Dr. Nchimbi, mateka wengine wote wa kisiasa na kudai HAKI itendeke dhidi ya raia waliouawa Oktoba 29, 2025.
Mikutano hiyo ni pamoja na Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU 153) utakaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Mkutano wa Pili wa Doha kuhusu Uhamaji wa Kazi (GCC-Africa Dialogue) utakaofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency, Dar es Salaam kuanzia Oktoba 5 hadi 6, 2026, pamoja na Mkutano wa 12 wa Wadau (COP12) wa Mkataba wa Nairobi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, kuanzia tarehe 6 hadi 9 Oktoba 2026.
Tunavijulisha vyombo vya ulinzi na usalama hususan Jeshi la Polisi kwamba
maandamano ya kumbukumbu wa mwaka mmoja wa mauaji ya raia zaidi ya 10,000 yatafanyika nchi nzima kuanzia tarehe 29 Oktoba hadi 5 Novemba 2026 hivyo wajiandae kulinda raia waandamanaji
#FreeTunduLissu
#FreeEmmanuelNchimbi
#KatibaMpya
#SamiaMustGo
Kariakoo jana ilikuwa patashika nguo kuchanika usiku Mkuu wa Wilaya ya Ilala na OCD na mapolisi walikuwa bize na machinga kuwabomelea meza na kuchukua bidhaa zao na kuwakamata!
Sasa kaeni mkijua kuwa CCM haiaminiki wala haina utu! Wao wamawatumieni kama kondomu alafu wanawaona kama uchafu na kuwatimua na kuwatupa jalalani!
Amkeni watanganyika
#MO29 ni ya kudai haki za kila mtu ila kila mtu asimame! 👊🏽
#TutaelewanaTu
Hivi @ikulumawasliano admin wa hapa X kaondoka na password? 😁 naona tokea Nane Nane hawajaposti
Wanapost Instagram tu
Ila ya kimama wanapost kote
Shida nini?
Yaani serikali inaendeshwa ka kiosk!
But #TutaelewanaTu
Watch: THE BOLD STORY OF ALOIKIN PRAISE ... https://t.co/fH1mUk15Uu via @MwanzoTv
Aloikin is one of the bravest and most resilient activist and lawyer in Uganda!
Mwanaharakati mpambanaji wa Uganda ametekwa ndani ya kituo cha polisi! Ana historia ndefu ya upambanaji!
#FreePraiseAloikin
What is this madness that African leaders have fallen into?
Are they so thin skinned that sheer criticism, even if harsh or impolite, rattles them to the extent of ABDUCTING, TORTURING and even KILLING critics?
This is SATANISM or some sort of evil
CULT!
Jamani huu ni ushetani mtupu hata hamniambii kitu! Yaani kukosolewa iwe kwa njia yoyote hata kwa matusi kwa kiongozi ni sehemu ya kazi! Unawazaje kumteka, kumtesa na hata kumwua binadamu mwenzako!? We ni nani usikosolewe!?
Inabidi tukomeshe hii tabia! 🙄✊🏽
Katiba si mali ya CCM wala ya chama chochote; ni mkataba wa wananchi. Tudai Katiba mpya kwa amani, kwa hoja na kwa umoja, bila chuki wala vurugu. Mamlaka yalikuwa yetu tangu mwanzo, na tuko hapa kuyadai kwa njia ya sheria na busara. Tuungane sasa, tuidai, tuipate. #Katibampya