Toa maoni yako and stand a chance kuwin lots of Kredo!
( https://t.co/td5AwUjhpV )
T&Cs
1) You have to be 18 years of age and above.
2) Sign in using email
3)You have to complete the survey
4) You can only complete the survey once
Ushindi wa Kwanza wa Unai Emery Dhidi ya Pep Guardiola!
Unai Emery amepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya kocha Pep Guardiola huku Aston Villa wakipanda juu zaidi ya Man City kwenye Ligi Kuu ya Uingereza. Aston Villa wameonyesha mchezo mzuri na kujizolea pointi muhimu!
Jana ilikuwa na mechi kali za Ligi Kuu ya Uingereza. Cheki matokeo:
ManUnited 2 - Chelsea 1
Aston Villa 1 - ManCity 0
Sheffield United 0 - Liverpool 2
Fulham 5 - Nott Forest 0
Crystal Palace 0 - Bournemouth 2
Brighton 2 - Brentford 1
Mechi zimeleta surprises kadha
Mashindano ya NBA In-Season: Matokeo ya Quarter-Finali & Ratiba ya Semi-Fainali!
Matokeo ya Leo Asubuhi:
Lakers 106 - Suns 103
Bucks 146 - Knicks 122
Mechi za Nusu Fainali zitakazopigwa Ijumaa:
Bucks vs Pacers
Lakers vs Pelicans
Nani atatinga fainali?
Jana usiku ilikuwa na mechi kali za EPL:
Luton Town 3 - Arsenal 4
Wolves 1 - Burnley 0
Luton 3-4 Arsenal: Declan Rice alifunga goli la ushindi dakika za mwisho, na Arsenal wakashinda kwenye mechi ya magoli saba. Sasa wako pointi tano juu kwenye jedwali la EPL.
Drama ya Man Utd: Ten Hag na Wachezaji
Kuna shida kati ya kocha Ten Hag na wachezaji wa Man Utd. Wachezaji hawaelewi game style yake na wanahoji jinsi anavyomtreat Jadon Sancho.
Kuna story eti Ten Hag amepoteza trust ya nusu ya wachezaji, hasa kwa vile hajali malalamiko yao.
Haaland wa Man City Anaface FA Charges!
Baada ya game ya Man City na Tottenham, Haaland anaweza kupata shida na FA. Alisema maneno makali kwa refa Simon Hooper.
Champions League Ilikuwa Moto Jana!
Galatasaray 3 - Manchester United 3
Arsenal 6 - Lense 0
Benfica 3 - Inter Milan 3
Sevilla 2 - PSV 3
Real Madrid 4 - Napoli 2
Jana usiku ulikuwa wa kusisimua kwenye Champions League! Ni mechi gani ilikufurahisha jana?
Update ya Champions League: Cheki Matokeo ya Jana!
PSG 1 - Newcastle 1
Man City 3 - RB Leipzig 2
Barcelona 2 - Porto 1
Milan 1 - Dortmund 3
Mechi zilikuwa na moto jana! Lakini Je, Newcastle walikosewa na VAR?
Chapabet News: Man City wapata injury boost kwa mechi dhidi ya Liverpool.
Man City wamepata habari njema, kwani Haaland na Nathan Ake wameonekana wakifanya mazoezi.
Pia Kumbuka kuwa uchunguzi wa maoni bado unaendelea na utafungwa saa sita mchana (12pm).
#ChapabetNews
Pongezi kwa Bingwa wa Trivia!
Leo, tunajivunia kumkaribisha bingwa wa mchezo wa trivia katika familia yetu ya Chapabet! Anakuja kuchukua jezi yake ya Chapabet, zawadi ya ujuzi wake mkubwa na uelewa wa michezo.
#ChapabetWinner#TriviaChampion
Toa maoni yako na uwe na nafasi ya kushinda Kredo mob!
Tuna survey nyingine inayoendelea!
( https://t.co/6rd8euu0ez )
T&Cs
1) You have to be 18 years of age and above.
2) Sign in using email
3)You have to complete the survey
4) You can only complete the survey once
ππ Hongera kwa mshindi wetu wa Trivia Challenge! πβ½οΈ
Leo, shabiki wa Liverpool anajivunia jezi yake mpya, zawadi ya ushindi wake kwenye Trivia Challenge ya 'Finish the Lyrics'.
Kwa maarifa na ubunifu wake kwenye soka, anastahili kabisa. π€β½
π π Hongera na Asante kwa Wote Walioshiriki kwenye Toa Maoni Survey yetu! Kwenye orodha hii, tunawatambua na kuwapa zawadi ya airtime washindi wetu! ππ±
Tumieni airtime yenu kwa furaha na endeleeni kuwa sehemu ya familia yetu ya Chapabet. π€π