@VodacomTanzania Nilinunua Luku kwa Mpesa jana saa 11 asubuhi. Pesa ikakatwa na sikupata token za Luku. Nimepiga simu nikaambiwa tatizo litatatuliwa ndani ya masaa 24. Masaa 24 yamepita pesa haijarudishwa wala sijapata units. Nimeongea mara tatu sijapata jibu. @TCRA_Tz
#PICHA Muandaaji wa kipindi cha #SupaBreakfast @mackriners (wa kwanza kushoto), akimkabidhi zawadi kutoka Royal Oven Bakery, mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja wa #ARiSInsurance Winfrida Kawiche katika maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja ya @earadiofm
Mshindi wa kwanza katika wiki ya huduma kwa wateja ni kutoka kitengo cha huduma kwa wateja ARiS Insurance.
Ili usipitwe na haya yote, usikose #SupaBreakfast wiki hii ya huduma kwa wateja, Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 hadi saa 4 Asubuhi. Kwa wakazi wa Dar es Salaam pekee.
@PrecisionAirTz I have been stucking at Arusha airport for hours. My flight was supposwd to take off at 15:10hrs and until now Iam at the airport. Thanks to Precision and that how my last day of month has been.