8.2.2025 pale South Africa Zero Brainer alishinda TUZO ya mtengeneza maudhui bora ya michezo wa mwaka kutoka TIKTOK.
Tuzo hii ililipa TAIFA heshima kubwa sana, alikuwa anashindana na watu wakubwa kutoka mataifa mbali mbali duniani.
Maudhui yake Zero brainer ndio mtanzania anaeongoza kufuatiliwa TANZANIA na kamzidi Followers msanii mkubwa EAST AFRICA Diamond platnumz pale Tiktok kwa kuwa na wafuasi 13.2M mpaka sasa.
Huko instagram jamaa ana wafuasi 2.7M ndio mtengeneza MAUDHUI mwenye wafuasi wengi kuliko wote wanaolilia tuzo unaowajua wewe hapa TANZANIA.
Huko youtube jamaa ana subscribers 2.33M hakuna hata KICHAA mmoja kati ya hao wanaolilia TUZO anaemgusa kwa subscribers.
Content zake hazina UCHAWA, hazina sijui Mama usenge usenge, yeye anakula jezi ambayo inaonyesha kuwa ni mtanzania, mazingira ya Africa kabisa baasi.
Huyu jana ilibidi atambuliwe kwenye jukwaa lile la WAPUMBAVU na MACHAWA kwasababu aliletea TAIFA heshima. Ila kwakuwa tuna CHAWA NA WAPUMBAVU wengi hakuna hata mualiko aliopewa.
Mimi binafsi ni shabiki mkubwa wa content zake, na anafuatiliwa na watu wengi sana na ni mashabiki zake na namba zinaongea. Yeye kutotaka kutambulika jana kwa kulipa heshima taifa wala lisimuumize.
Zero brainer endelea kufurahisha dunia na maudhui yako ambayo hayana HARUFU ZA UCHAWA NA USENGE USENGE WA KULAMBA MIGUU WATU. Naamini unatengeneza pesa nyingi sana, na utaendelea kutengeneza nyingi zaidi kwasababu upo kibunifu na sio KICHAWA.
Hao watoto wa mama wanaolilia TUZO kisa vipesa vya mboga za majani wacha waendelee kutumika kama PEDI / CONDOM , baada ya 2025 kuna NJAA kubwa inakuja kwenye maisha yao hawataamini.
Stay OG zero brainer🫡
SATIVA17 🫡
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Simba SC imeweka rekodi kuwa klabu ya kwanza Tanzania kufikisha alama 10 kwenye hatua ya makundi ya klabu bingwa. Pia imeweka rekodi ya kucheza mechi 4 mfululizo bila kuruhus bao. The Invincibles