"Mama, you commissioned me to take care of Baba, but I’ve brought you back his hat, instead. I did everything I could, but fate was unkind. I don’t know how to face you, Mama — I'm so sorry, I failed you, Mama."
@BongeLaAfya Wazazi wengi tunaumia kukosa haya maarifa.Wengi tunasomesha watoto nje bila kuangalia Muongozo wa TCU wasemaje. Akimaliza na kuja hapa nchini ndio kazi inaanza upyaa. Kisa tu hukufuata miongozo toka mwanzo
TABIA YA WATU WANAOISHI MAISHA MAREFU
1. Kutembea au mazoezi
2. Kula vyakula vya asilia
3. Kulala usingizi wa kutosha
4. Hawana misongo ya mawazo
5. Wanakaa na watu wanaowapenda
6. Hawanywi pombe,kuvuta sigara nk
7. Wanaishi kwa malengo