‼️ALERT‼️🚨
Baada ya jaribio lao la kutaka kumteka na kumpoteza Msaidizi wa Mhe. Lissu, kaka @daviddjumbe
Abdul na genge lake kupitia Jeshi la Polisi wamepanga mpango wa kuigeuzia kesi CHADEMA na David Jumbe.
Jana Jeshi la Polisi kupitia Faustine Mafwele, walisema kwamba wanafanya Uchunguzi ili kubaini wahusika wa tukio la kutekwa David Jumbe, lakin cha kuchekesha ni kwamb sasa hivi wamepanga kuja na Report ambayo itaonyesha kwamba CHADEMA ndo ilihusika kumteka Jumbe ili kuichafua Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama.
Kuna media wamezipa pesa kwa ajili ya kuwasaidia kufanya spinning kwenye jambo hili so kuanzia leo mtawaona baadhi ya Watangazaji wanajifanya wanakuja na uchambuzi wa tukio la kutekwa Jumbe lakini Uchambuzi huo utakuwa ni wakupindisha ukweli wakidhan kwamba kwa kufanya hivi ndo kutawasaidia kujisafisha ili ionekane kwamba wao hawahusiki na matukio ya kuteka na kupoteza watu.
Yani hawa wapuuzi wanateka na kupoteza watu baada ya kuambiana ukweli kwamba waache haya maujinga yao ya kuteka, kupoteza na kuuwa watu, wao wanatafuta watu wa kuwaangushia lawama.
Uzuri Watanzania wa leo sio wajinga, wanajua mbivu na mbichi so hata muhanagaike vipi kupindisha ukweli ila watu wanajua kwamba Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama ndo inahusika na matukio ya watu kutekwa, kupotezwa na kuuwawa.
Hizi ndio kauli ngumu wanazopenda hawa VIBAKA—kinyume na hapo hawa WASENGE wanatuona kama mikundu yao.
Asante Raisi BAK kusimama na TAL hadharani na kuwakumbusha WAKOLONI WEUSI #FreeTunduLissu
REPOST 500
Kirando, Nkasi Kaskazini, Rukwa.
Hii ni leo. Hakuna kiongozi wa kitaifa yeyote. Hapa alikuwepo AIDA KENANI na watu wake tu. Mnaweza kuwatoa roho wafuasi wote wa CHADEMA lakini hamuwezi kuondoa imani kwa watu. Kwa sasa, CHADEMA ni imani ya watu. CHADEMA kwetu ni lifestyle yetu.
Hiki chama ni mpango wa MUNGU kwa watanzania.
Vuta picha zama hizi za GIZA wao wameamua kusimama upande wa WANANCHI. Wamepitishwa nyakati ngumu kwa msimamo wao huo lakini bado wamesimamia imani yao.
Ndiomaana watanzania hawaoni shida kutoa buku buku zao kukiendesha chama CHAO ambacho kimeamua kusimama upande wao.
Na hiki ndio kinawatesa WAKOLONI WEUSI. HAKUNA hata mtu mmoja anaewasikiliza wakoloni weusi—ila CHADEMA inasikilizwa kwa wivu mkubwa sana.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—hiki chama kimeamua kukataa kuketi meza yenye DAMU za ndugu zetu kwa kile kinaitwa “Maridhiano”, hii ni heshima kubwa sana tumepewa watanzania.
Kuichangia CHADEMA ni kufanya IBADA ya kweli—maana hiki chama kinapoteza viongozi wao na wanachama wao kila kukicha kwa KUTEKWA kwasababu ya msimamo yao ya kudai haki za watanzania.
Tuendelee KUFANYA IBADA YA KWELI kwa kuichangia “CHADEMA NA TONE TONE” ukombozi unakuja.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa imetangaza kwamba Mfaransa mwenye umri wa miaka 62 ambaye alikuwa amehukumiwa kifo na China kwa ulanguzi wa dawa za kulevya amenyongwa.
Ufaransa imesema alipatikana na hatia ya ulanguzi wa dawa za kulevya mnamo 2010.
Serikali ya Ufaransa imesema kwamba mtu huyo alikuwa hapaswi kuhukumiwa kifo, kwamba badala yake angepewa msamaha lakini ombi hilo halikukubaliwa kamwe.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa ilisema Mawakili hawakuruhusiwa kumwakilisha katika kesi yake ya mwisho katika Mji wa Guangzhou, Kusini mwa China.
Kifungu cha 347 cha sheria ya jinai ya China kinasema kuwa usafirishaji, usambazaji na utengenezaji wa dawa za kulevya ni uhalifu mkubwa.
Ukipatikana na hatia, unaweza kuadhibiwa kulingana na ukubwa wa uhalifu, na makosa madogo yanapata adhabu nyepesi, wakati uhalifu mkubwa unaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha au adhabu ya kifo.
#KitengeUpdates
His imprisonment is not the end of the struggle,it is a reminder of why the fight must continue. If he can stand firm behind bars, we have no excuse to lose hope while we are free.
We will not be silent. We will not back down. This country belongs to its people, and we demand the rule of law,not the rule of individuals or powerful groups.
Ufungwa kwake si mwisho wa mapambano,ila ni ukumbusho wa kwa nini tunapaswa kuendelea kupigania haki. Kama yeye anaweza kusimama imara akiwa gerezani, sisi hatuna sababu ya kupoteza matumaini tukiwa huru.
Hatutanyamaza. Hatutarudi nyuma. Nchi hii ni ya wananchi wake, na tunadai utawala wa sheria, si utawala wa watu binafsi au makundi yenye nguvu.
JUSTICE FOR TUNDU LISSU #FreeTunduLissu
#WenyeNchiWananchi
AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA.
Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike.
Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi🔥🔥🔥
REPOST 500
#NoDemocracyNoAfcon
Huyu ni Mwenyekiti wa BAVICHA Wilaya ya Kilosa, Kamanda Yohana Kibasa ambae pia ni Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Nyavisi kilichopo Kata ya Ruaha na Jimbo la Mikumi.
Hapa ni Msibani kwa Kamanda na Mwanachama wetu Joseph Mlasu aliyefariki baada ya kupata ajari.
Wakubwa, Mzee wangu anauza asset: shamba la miti ya pine, Kilolo (Iringa), Kijiji cha Magome 70km kutoka mjini. Ekari 100 (hati 50/50), miti ya miaka 10 tayari kuvunwa,barabara inafikika kirahisi.
Bei kuanzia 900k/ekari, majadiliano yapo.
Piga 0762344677 kwa mawasiliano.
Share 🙏🏼
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo.
.
Natumaini umepata kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kurepost kwa ajili ya wengine..
.
Kama hujatu follow gonga follow chap ili next time usipitwe na madini.
Utafanya malipo at cost [no extra cost] huko huko ulipo mpaka gari itafika na utakuja kuichukua au kuletewa ulipo.
.
Natumaini umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi usisahau kuRepost kwa ajili ya wengine.
.
Kama hujatu follow gonga follow chap ili next time usipitwe na madini.