Ati mnakunywa illicit mnatapika? kuna ingine nilikunywa imetengenezwa na chemical za mortuary nililala siku nne polisi ndio walikuja kunitoa kwa nyumba majirani wakiwa wameripoti ati nimekufia huko
Mtu wa tutam amepoteza job anauliza Kama tunaweza muekea vitu zake za nyumba before she figures out how to sort rent and stuff.. apeleke statehouse haha
This time it's very very personal.
Kuna sharpboy ameni prompt 30 bob. Mimi nikaweka mpesa pin coz what's 30 bob 😅🤔Six minutes later akanirudishia thate yngu na akatext ivi, "kuna kitu nilikuwa naangalia" then akani block . Should i be worried?