Ni mwaka mmoja sasa,
Tangu Majizo,
Awachukue Misomisondo na team yake kutoka Mtwara..
Now Misomisondo na team yake wanaanza enjoy matunda ya Juhudi zao..
Video kwa Comments 👇
SEHEMU YA PILI:
Hii ni sehemu ya pili ya mahojiano na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje juu ya tuhuma za 'Rushwa' maarufu kama 'Pesa za Abdul' zinazoelekezwa kwake na Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, @TunduALissu .
Tazama.
@fumbokhanJr Khan unatuangusha bwana hayo mambo wafanye wakina dada siyo mwanaume unaweka mapozi ya mashavu hivyo kama paka wa Mjumbe anyway Happybirthday tajiri🥂🍹🍸🍷🍼
Dkt. Slaa anasema!
Chadema Imekufa!
Chadema ni mali ya mbowe!
Chadema imedhibitisha wazi kupitia Mbowe hawawezi tena kusimama imara!
Sikiliza kwa maakini then utaelewa hiki chama kina machafu mengi!
Nimepewa jibu la hili swali langu:
Rais anatengewa 60m kila mwezi kwenye bajeti.
Pesa hizi ni za MFUKO wa Rais.
Anaweza kufanya anavyotaka na hizi fedha. Kuzigawa anavyoona sawa.