@loftymatambo@radiomaisha Loft niko na Nic Wambua kura yangu ndani ya debe la Eloi eloi. Wimbo huu unanikumbusha miaka mingi iliyopita pale GPM katikirieni, Chonyi. Baraka tele tele Easter hii kaka Lofty.
Nick na lofty ni magwiji wa kiswahili kuntu nyie hongera kwenu.
@radiomaisha@loftymatambo Nmeingia ndani ya shangwe nikionemema hapa Loitoktok. Tutajaribu huu wimbo tuuimbe kichonyi, sijui unaona utatokea aje shangwe na sebene ni shangwe la ajabu sana kaka.
Kura yangu naitumbukiza ndani ya debe la F. Mureithi.
@governorkingi The Coast is maginalized, ulike the upcountry our leaders should only surport what is envisaged to safegurad the coastal kenyans. BBI is not getting us anywhere. Cocunut, cashewnut, Mangoes and Ocean and we are done.
BBI is Nonsense!.
@loftymatambo@radiomaisha Kaka Lofty, asifiwe yesu kristo. Nmeingia ndani ya timu ya nyakunyaku. Nadondoa baraka zangu nikiwa maeneo ya Loitoktok. Shangwe inateka na kuitesa anga ni kwa ajili ya utukufu wa mungu maeneo haya. Baraka! Kaka.
@radiomaisha@loftymatambo Kaka Lofty, asifiwe yesu kristo. Nmeingia ndani ya timu ya nyakunyaku. Nadondoa baraka zangu nikiwa maeneo ya Loitoktok. Shangwe inateka na kuitesa anga ni kwa ajili ya utukufu wa mungu maeneo haya. Baraka! Kaka.
@governorkingi It looks amazing but we need to see the prices of these projects on these good tweets and probably compare with same elswhere. We are still far from others and we can catch up as well.
There is a need to work on Our most available resources, Cashewnut, coconut & Sea Fish.
1,Earlier today, I officiated the opening of two major projects in Gongoni ward; a new cabro road under the County Urban upgrading program and the Gongoni Market.
@loftymatambo@radiomaisha Hujambo kaka!
Nmeingia kuitumbukiza yangu ndani ya debe la
Masiha masiha.
Hizi ngoma ndani ya chonyi zimetesa mda huwo sana. Sema afternoon showers, kingdom shakers alfu The Bayaz band.
Kiukweli leo hizi ngoma ni kali sana kaka kijito nyama_Tz.
Enzi za gitaaaa tu wacha tu.
@radiomaisha@loftymatambo Lofty hujambo kaka!
Mimi nimeingia kutumbukiza yangu Masiha Masiha.
Lofty hizi ngoma bwana na huko chodari pingilikani, Aaaahhhh kaka wewe wacha tu bro.
Naikumbuka kingdom shakers, Afternoon showers bila kuisahau The Bayaz band baba yao.
Kali za kale baba leo ni kali kweli.