Sai kila region inajipanga politically with new parties and alliances being formed, alafu sasa wenzetu wa Coast. with 2.1M votes bado hawajielewi wanataka nini. wao bora wameletewa Ali Kiba pale ferry na tittle deeds, alafu mafuta ya kupika bajia ishuke bei wako sawa😂😂