Kila siku saa mbili asubuhi, Bibie Hadija alikuwa tayari amefungua saluni yake.
Alikuwa mbobezi wa kusuka. Mikono yake ilikuwa na kipaji cha ajabu. Akianza kusuka, hata mteja aliyekuja akiwa hajui anataka kusukwa mtindo gani, aliondoka akitabasamu na kujipiga picha mbele ya kioo
Yakobo ! Yakobo ! Yakobo !
Mara tatu Jina lake linaitwa
Anageuka nyuma kijana Mtanashati , Futi 6 na robo kwenda juu
Kachapa suruali ya kitambaa ya kijivu na shati jeupe la mikono mirefu
Mdada anahema mithili ya kukimbizwa na Mbwa koko 😂
Bila salamu anasema
”Unaitwa ..
Nasikia hii couple wamenyongwa tayari kama hukumu ya hiki walichokifanya, kubusu tumbo la mkewe mjamzito hapo walipo,. if its true,.. Dini zinatuumiza💔🙌.
Kumekucha sasa matajiri ✍️
Sema Wakuu tukiacha unafki samsung ni simu ambazo zinakaa na charge kwa mda mrefu sana . Na nisimu ambazo hazipati moto kabisa👇
Tupo kariakoo mt likoma na msasi
☎️ 0794681086
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Justine Pambalu amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 21, 2026, na kusomewa shtaka moja la uhaini.
Pambalu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa zamani wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Taifa na Mjumbe wa Sekretarieti ya Taifa, Kamati Kuu na Baraza Kuu la chama hicho, amesomewa shtaka hilo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Salome Mshasha.
Katika kesi hiyo ambayo haina dhamana, Pambalu amesomewa mashtaka yake na Wakili wa Serikali, Titus Aron, huku Wakili wa upande wa utetezi akiwa hayupo mahakamani wakati wa usomaji wa shtaka.
Kwa mujibu hati ya mashtaka inadai kuwa Pambalu alitenda kosa hilo katika tarehe mbalimbali kati ya Septemba 1 na Oktoba 29, 2025, katika maeneo tofauti ya Mkoa wa Dar es salaam.
Upande wa Mashtaka unadai kuwa Pambalu alionesha nia ya kushawishi Umma kusababisha kuzuiwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, na kwamba alidhihirisha nia hiyo kwa vitendo, ikiwemo kuendesha maandamano yasiyo na ukomo Nchini kwa lengo la kuitisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Muhimili wa Utendaji.
#MillardAyoUPDATES
Hizi simple loafers Leo unapata kwa 80,000/= badala ya 90,000 /=
.
Size 40,41,42,43,44
.
Njoo WhatsApp Chap ☎️ : 0743931620
.
📌Kariakoo mtaa wa Congo na Narung'ombe Brotherhood Tower Sec Floor Shop S6 ✅