Kiongozi wa kikundi bora cha Ushangiliaji katika shindano la #ChuoChallengeCup2022 toka Chuo cha CBE Mwanza (@cbe_mwanzaupdates) akipokea zawadi yao baada ya kushinda.
Mkurugenzi wa Yuhoma Educational Ltd, Bw. Yusuph Yahya akikabidhi zawadi ya mshindi wa pili kwa chuo cha CBE (@cbe_mwanzaupdates) & (@cbeofficial_1965)
π #ChuoChallengeCup2022 FINAL
βͺοΈ CBE Mwanza FC (@cbe_mwanzaupdates) Vs KALIUA FC (@Kaliua University)
ποΈ Nyamagana, Mwanza
β²οΈ16h00 / 10 Jioni