Ni picha ya wajumbe waserikali ya kijiji cha msendamila kata ya llolangulu wilaya mbogwe akieleza changamoto mbalimbali nakuiomba serikali ipauwe jengo la zahanati ili kusogeza huduma ya Afya @Oxfam @umwalimu #chukuaHatua
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu barabara hata madaraja hayaonekani hii ni Barabara inayounganisha kijiji cha Nyang'hwale na kata ya nanda wilaya mbogwe mkoa geita
Madiliko ya Tabia ya nchi yanaweza kusababisha hata ukame hali hili hujitokeza ktk kjiji cha nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe tunaiomba serikali kutuchimbia kisima kirefu @oxfam @mjallwa #chukuaHatua
Hili ni jengo la vyumba viwili vya madarasa pamoja na ofisi moja ya mwlimu ktk s/msingi Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe ambalo linajengwa kwa nguvu za wananchi ujenzi unaendelea @Oxfam#chukuaHatua
Ubaguzi wa kijinsia ni hatua ambazo zinawaathiri wanawake kutokana namfumo Dume ambao umejengeka ktk jamii zetu tunahitaji mabadiliko mwaka 2020 tupige hatua kunga ukatili @Oxfam#chukuaHatua
Waragabishi wa Wilaya ya mbogwe wakiwa pamoja na Viongozi wa Wilaya ya mbogwe baada ya kumaliza kuzindua Upandaji wa miti ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi ya kuharibu mazingira kutokana na shuguli za Binadamu
Panda miti ili kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi ukataji wa miti holela unaharibu Mazingira na kusababisha ukame na ukame huleta umasikini @Oxfam#chukuaHatua
Daraja jipya la mbao limejengwa na wananchi kati ya kiseke na kijiji cha kagera Wilaya ya mbogwe baada ya mvua kubomoa madaraja tunaiomba Tarura kuwajengea makarabati @Oxfam#chukuaHatua
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu zao la mahindi Ardhi imepoteza Rutuba mashamba mengi yanahali hili katika kijiji cha Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe Wananchi wachukuwe Tahadhari mapema njaa ipo @Oxfam#chukuaHatua
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu barabara inayounganisha kata ya nanda na kijiji cha Nyang'hwale tunaiomba Tarura kuweka madaraja kwani barabara ni kichocheo cha maendeleo ya miradi ya wananchi @Oxfam#chukuahatua
Tunaupokea mwaka mpya 2020 tuseme inatosha ukatili na unyanyasaji kijinsia ktk jamii tunahitaji mabadiliko Tujenge jamii inayothamini watoto wakike wasome shule
Mw/mkuu wa shule ya Nyang'hwale kata ya nanda wilaya mbogwe wakiwa pamoja na viongozi wa Jumuiya ya wazazi,Nyang'hwale wakijadili changamoto mbalimbali za shule Shule inawanafunzi 619 inawalimu 6 wanaiomba serikali kuongeza Walimu @oxfam@JoyceNdalichako#chukuaHatua