Huwezi kusema uko ktk chama cha siasa cha upinzani lakini unajizuia kumuunga mkono Lissu aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya mapambano hayo.
Wengine wanapoteza muda na pesa za Watanzania.
#TajiriLaKihaya
Wana ARSENAL ….
Comment na namba yako ya simu… kila Mwana Arsenal Apate PEPSI BARIDI popote alipo….
Hii Furaha nlionayo kuanzia Jana usiku sio ya Dunia hii….
Kmmmmmmk….. nakojoooooaaaaaa
#COYG 💪🏽
#TajiriLaKihaya
Leo Content ni ARSENAL tu!
#Repost za Kutosha…
#Quotes za kutosha…
Kila mtu mashuhuri duniani ni Mshabiki wa Arsenal…
Arsenal inapendwa saana ….
ARSENAL ni Familia kubwa mno,Duniani kote 🙌🏾🙌🏽
Leo na kesho tuhakimishe #FreeTunduLissu inatrend
Andika post, weka picba weka hashtag nq share, repost kila post hata za zamani za Lissu
Tuwe serious people! Siku 405 ??!!
Niache Nachanganyikiwa Mjukuu wangu! 😔😔😔
Rais alisema Watu walitaka kupindua nchi na kukazia kwamba nguvu iliyotumika kutaka kudhibiti Maandamano ilikua sawa.
Harafu tume inakuja na kauli kwamba Vyombo vya usalama havihusiki ni kilichotokea 29-10-2025😔
wasomi wa UDSM (UDASA) wamekuja na mambo 53 ambayo kero kwa wananchi.
Nimefurahi kuisoma namba 17–huyo msenge siku yake inakuja, katumika sana kama CONDOM miaka hii 10+.
Ni suaa la muda.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎