Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz#KijanaPlus#AfriYANTz
Hey you! Yes, you!
🔊 Do you know a young person that is making a difference to help achieve the #SDGs?
Tag them below and encourage them to apply to become one of @unyouthenvoy ’s #YoungLeaders 👇 https://t.co/YBaUWqgwTj
#YouthLead
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz#KijanaPlus#AfriYANTz
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz#KijanaPlus#AfriYANTz
Ushiriki wa Vijana unamaanisha kiwango ambacho vijana wanahusika, kushiriki, na kushawishi maamuzi katika masuala yanayowahusu wao binafsi, jamii zao, na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Uwezeshaji wa vijana ni ufunguo wa uchumi imara – tuwape fursa, ujuzi, na mazingira wezeshi ili wajiajiri na kuajirika.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Uwezeshaji wa vijana ni hatua muhimu ktk kuimarisha uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira.kuweka mazingira bora, kutoa elimu, mitaji, na fursa za soko, vijana wanaweza kuchangia kikamilifu maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Uwezeshaji wa vijana ni hatua muhimu katika kuimarisha uchumi wa nchi na kupunguza ukosefu wa ajira. Kwa kuweka mazingira bora, kutoa elimu, mitaji, na fursa za soko, vijana wanaweza kuchangia kikamilifu kwenye maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus
Afya yako ya akili ni msingi wa mafanikio yako.
Usisubiri, chukua hatua sasa tafuta msaada na zungumza. Usihisi upo peke yako, kuna msaada na suluhisho. Tunaweza kuvunja unyanyapaa kuhusu afya ya akili.
Jiunge na kampeni ya #LetsTalkTz Tuzungumze afya ya akili.
#KijanaPlus
Afya ya akili ni msingi wa mafanikio.
Tuongee, tushirikiane, na kusaidiana ili kuhakikisha kila kijana anapata msaada kukabiliana na changamoto za maisha. Kupitia #LetsTalkTz, tunahamasisha majadiliano wazi kuhusu afya ya akili, tunavunja unyanyapaa, na kuwaunganisha vijana.
Afya ya akili ni haki ya kila mtu. Ripoti ya CAG 2022/2023 inaonyesha ongezeko kubwa la wagonjwa wa afya ya akili kutokana na changamoto za huduma na sera.
Tukemee unyanyapaa na tuhamasishe mabadiliko kupitia #LetsTalkTz.
#AfriYANTz | #KijanaPlus
Wapiga kura wa Dar es Salaam.📢
Ikiwa ulijiandikisha mwaka 2015 au 2020 na kadi yako haijapotea, kuharibika, au hujahama eneo ulipojiandikisha HUHITAJI kujiandikisha tena ✅
Sambaza taarifa kwa wengine! #ElimuYaMpigaKura#AfriYANTz
Wasichana wanastahili elimu bora na fursa sawa.
Mimba za utotoni siyo tu changamoto ya kiafya, bali pia ni mzigo kwa jamii na uchumi wa nchi. Tukijenga mifumo ya elimu na huduma rafiki za afya ya uzazi, tunawasaidia vijana kufanya maamuzi sahihi.
#LetsTalkTz | #KijanaPlus
Afya ya akili ni msingi wa maisha bora.
Fuatilia kampeni ya #LetsTalkTz na tujenge jamii yenye utulivu wa kihisia na mshikamano wa kijamii.
#LetsTalkTz#KijanaPlus#AfriYANTz