Roho imeniuma, nimebaki nalia tu….
Hapana aiseee…, @SuluhuSamia@jmkikwete@ccm_tanzania Wapeni wamama miili ya watoto wao wazike. Mlificha na kupoteza miili mkidhani mnaficha ushahidi ila wale marehemu sio mbwa, wana familia zao, wana mama zao, ndio kama hivi mama zao wanalilia miili yao.
Mtalipia damu mlizomwaga October 29….