@Mwenyekit_i Nilikuta sms akimuahidi penzi jamaa ambaye yuko mkoa mwingine kuwa akija tu anamtunuku na hapo ni mjamzito wa miezi miwili. Uchumba ulifia hapo.
๐จTAARIFA
Mwanangu @Thereal_taivina kaibiwa Simu yake maeneo ya BUGURUNI na VISHANDU.
Wamekuwa wakitumia watu jumbe za KUOMBA PESA. Naomba usitume pesa yeyote kama ukitafutwa kwa namba ya Taivina.
REPOST 200.