Video ya huyo mubaba analia aty dem amemtumia akikula pesa zake alafu akiambiwa I'm now looking for someone anaanza kujam😂😂mubaba mzee unataka msichana mdogo akuwe wako pekee yako uko na akili mzuri kweli
Watch video 👇
After kupitia hizo Old School videos ya Kenyan Music all i can say is ...Si Millenials walikua wanajua kuimba They were just Something else. That Error ya Millenials kuenda nyuma ilikua noma sana Wachana na hawa Gen Z kitu wanajua tu ni Mapangalee na kuvuta bangi.👇
Thread;🧵