Baada ya majanga, maumivu hubaki moyoni. lakini kuna njia ya kuanza kupona.
Tukishirikiana na Basil Media na wataalamu wa afya ya qkili, tumeandaa mazungumzo maalum kuhusu:
📺 “Namna ya Kukabiliana na Maumivu ya Majanga (Trauma)”
Tazama sasa 🔗 https://t.co/feaMr2blsq
Pata huduma za afya yako, bila usumbufu.
Kupitia CloudScript, unaweza kuzungumza na daktari popote ulipo, kwa uharaka, usalama na bila kusafiri.
Tembelea https://t.co/BOSXId0tXh kuzungumza na daktari leo
#CloudScript#HealthCare#AfyaBora#Telehealth
Fostering disability‑inclusive care starts with access.
Persons with disability deserve an opportunity to thrive, and together we can build a society where healthcare is equitable, empowering, and accessible to all.
#CloudScript#PersonsWithDisabilities#TeleHealth#AfyaBora
In a time of global disruption, staying informed and staying connected saves lives.
CloudScript remains committed to accessible healthcare, stigma-free support, and a transformed future for everyone affected by HIV.
#WorldAIDSDay2025#HealthCare#AfyaBora#Telehealth
Healthcare is changing, and CloudScript is making it easier for patients & doctors to connect anytime, anywhere.
From your living room to the consultation room, everything happens online. Safely, simply, & seamlessly.
Learn more at https://t.co/PSgblPBwOx
#AfyaBora#Telehealth
Kupitia CloudScript, mzazi wako anaweza kupata ushauri wa kiafya kutoka kwa daktari, akiwa nyumbani kwa utulivu.
Wewe unapata utulivu wa moyo, ukijua afya yake ipo mikononi salama.
💻 Weka appointment kupitia 🔗 https://t.co/BOSXId0tXh
#HealthCare#AfyaBora#Telehealth
AMR is a silent threat, creeping into our lives & making infections harder to treat.
It’s not a now and not tomorrow problem.
If each of us acts today, we can protect what truly matters; our health, our families, our future generations.
#WorldAntimicrobialAwarenessWeek
Last week, we had an amazing training session with healthcare providers at Carehealth.
We focused on how to use https://t.co/PSgblPAYYZ for virtual consultations; helping them deliver services efficiently.
We remain committed to making quality healthcare accessible.
Mara nyingi vijana wanapitia changamoto nyingi... msongo, huzuni, au hata maumivu ya kihisia, lakini hawajui waanzie wapi.
Kama CloudScript tunakuletea nafasi ya kuongea na mtaalamu wa afya ya akili BURE kabisa.
📅Huduma hii itapatikana Novemba 10- 22
🔗https://t.co/altsTKSG38
Today, we join the world in marking #WorldDiabetesDay. For everyone living with diabetes, remember, support and care don’t have to feel far away. 💙
With telehealth, managing your health from home is simpler and more accessible than ever.
Together, let’s beat diabetes.
Kwenye maisha, tunapitia mengi na wengine wanaendelea kuumia kimya kimya. Lakini hauko peke yako.
Tumekuandalia fursa maluum ya kupata msaada na ushauri-tiba kutoka kwa mtaalamu wa afya ya akili, BURE kabisa.
📅Huduma hii itapatikana mpaka Novemba 22!
🔗https://t.co/altsTKSG38
Wiki zilizopita tulishiriki Tanzania Health Summit 2025 yenye kaulimbiu “Harnessing Data Utilisation and Technologies to Accelerate Universal Health Coverage.”
Tuliona hamasa kubwa ya jinsi data na teknolojia zinavyobadilisha huduma za afya! #THS2025#HealthForAll#CloudScript
Your mental health matters. 💙
Prioritize self-care, unwinding and wellness because caring for your mind is just as important as caring for your body.
#CloudScript#MentalHealth2025#WellnessFirst
CloudScript is your digital health companion! Allowing you to access health care services from your phone or laptop.
📲 Sign up today and start accessing halthcare from the comfort of your home!
🔗 https://t.co/BOSXId0tXh
#AfyaBora#Telehealth#DigitalHealth#DigitalHealthCare