#MulikoLaKaya Kenya itapiga hatua kimaendeleo, uiano na demokrasia iwapo itaandaa kura ya maamuzi kuhusu ripoti ya jopokazi la maridhiano BBI asema mbunge wa Mvita Abdulswamad Shariff Nassir.
Good morning it is another day when we give you amazing offers from @Jumia. Use the discount code KAYAMSA on every purchase #BlackFriday#BackFridayLikoni
Kile kilicho anza kama ndoto, sasa kimekuwa jamii ya watu wapitao milioni 14. @KeEquityBank inasimamia maendeleo.
#ANewLookEquity Banki inayoendelea zaidi barani Afrika.
Pitching ideas is critical for journalists to tell stories. As we close the co-production workshop @bbcmediaaction for scientists and journalists , @RadioKaya ‘s Dominic Mwabui story idea pitched before a scientist, veteran journalist and Project Director #bridgingclimateinfo
Hujambo kwenye #MulikoLaKaya jioni ya leo;
Mtaala mpya wa elimu utaanza kutumika nchini kama ilivyopangwa asema Waziri Matiang’i
Mwanamume afungwa miaka 31 kwa kumbaka mgonjwa wa kupooza.
Wakaazi Mombasa wahimizwa kushirikiana na wazee wa nyumba kumi.
#Vidokezo#MulikoLaKaya
Mtaala mpya wa elimu kuanza kutumika nchini, wazazi wakiwa na ufahamu finyu kuuhusu.
Wakaazi wa Kwale taabani kwa kukosa maji, kampuni ya maji Kwale ikisalia kimya.
Marufuku ya NTSA kwa safari za usiku yazidi kuwaathiri wasafiri nchini.
Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Mijomboni Kaunti ya Kilifi baada ya mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 30 kuuwawa kwa kufumwa mshale na mwanaume anayedaiwa kuwa na matatizo ya kiakili.
Maafisa wa polisi eneo la Chakama Kaunti ya kilifi wanalisaka genge la majambazi waliotekeleza mauaji ya watu wawili na kuwatupa kichakani.
Kulingana na chifu wa Chakama Solomon Mbashiri, miili ya wanaume wawili wenye umri wa makamo iliyokuwa na majeraha imepatikana Kichakani.