Meet Big Pharma’s greatest threat:
Barbara O’Neill.
This 71-year-old woman’s banned healing methods have saved millions of lives.
I've collected her top 8 lessons for peak health and lasting longevity: 🧵
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club.
Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi.
Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake.
Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani.
Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi – khair – na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu.
#NguvuMoja
#SimbaSC
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF Confederation Cup), na kuandika historia ya kufika fainali ya mashindano haya. Mmeipa nchi yetu heshima kubwa. Nawatakia kila kheri. Mnayo hamasa yangu wakati wote.
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup). Ushindi wenu ni furaha kwa mashabiki wenu na burudani kwa Watanzania wote. Ninawatakia kila la kheri katika Nusu Fainali.
Concorde is BACK.
• NYC to London : 3.5 hours
• Seattle to Tokyo : 6 hours
• Miami to London : 4.5 hours
But this time, Silicon Valley is reinventing it.
And it's an ex-Amazon guy with ZERO aviation experience behind it: 🧵
Shukrani za dhati kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa chama chetu, chama kinachobeba mustakabali wa Taifa letu na imani ya Watanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa kuniteua kuwa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu, 2025.
Sauti yenu na uamuzi wenu ni sauti na uamuzi wa mamilioni ya Watanzania wanaofurahia matunda ya kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ahadi yangu ni kuendelea na kazi njema ya kuitumikia nchi yetu na Watanzania wote kwa nguvu zote, akili na maarifa yangu yote, wakati wote.
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa waja wake na Taifa letu aendelee kutusimamia, kutuongoza na kutufanikisha. In'Sha'Allah.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibariki Tanzania.
Pongezi kwa Klabu ya Simba kwa ushindi katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya CS Sfaxien.
Mnaendelea kutupa Watanzania furaha na burudani kwa kuipeperusha vyema bendera ya nchi yetu kimataifa, huku tukiendelea kubaki wamoja katika kazi, amani, umoja, utulivu na mshikamano.
Ninawatakia kila la kheri katika michezo yenu inayofuata.
PLEASE @arsenal admin and its community, kindly send and RT this letter to reach Mikel Arteta.
Dear Mikel Arteta,
I hope this letter finds you well. I am writing to express my support for Ethan Nwaneri being given a start in an upcoming match.
From what we've seen, Ethan's performances, both in the youth setups and his brief appearances with the first team, showcase not just his immense talent but also a maturity beyond his years. His recent display in the Carabao Cup against Bolton, where he confidently scored twice, indicates he's ready for more significant challenges.
Starting Ethan could provide a fresh dynamic to the team, offering an element of surprise to our opponents. His hunger to prove himself on a bigger stage might just be the spark needed in the midfield, providing creativity and energy that could benefit the team's overall performance.
Moreover, giving young talents like Ethan more playtime aligns with Arsenal's long-standing tradition of nurturing young players, potentially cementing his growth and integration into the first team. It would also send a positive message about the pathways from the academy to the first team, encouraging other youngsters.
Thank you for considering this suggestion. I trust in your judgment and the coaching staff's expertise in making the best decisions for Arsenal's success.
Yours sincerely,
Aye, Arsenal supporter since 2007