Country materials, we deliver what you want.
Jipatie nondo imara kwa bei ya jumla na usafirishiwe bure popote Tanzania.
#jengana@countrymaterialsco.ltd
Siri ya biashara ni kujua kitu ambacho hamna mtu mwingine anajua. @moodewji@CoMaterials akili ndio Mali kuu ambayo wanadamu wanayo, hivyo ikiwa utawekeza akilini mwako utakuwa unafanya biashara kubwa zaidi maishani mwako.#countrymaterialscompanyltd let's catch up next session.
Kufanikiwa katika biashara hadi kufikia kilele ni lazima mtu ajue kila kitu kinachowezekana kujua katika biashara hio. Karibu @CoMaterials kwa ushauri wowote wa ubobezi wa biashara. @CoMaterials.
@muttamike_