The biggest problem with CHADEMA and some of its activists is the belief that they are always right. Every disagreement is treated as ignorance or bad faith, instead of a difference in perspective.
Believing that only your side is right while everyone else is wrong reflects intolerance, not democratic values. Democracy thrives on debate, not ideological dictatorship.
Punguza ujinga we Mzee aliezuia chama chenu kufanya harakati za kisiasa ni nyinyi wenyenu sio CCM wala Serikali inayohusika, mupelekane Mahakamani nyinyi wenyenu lawama mutupie wengine, NONSENSE
Hizi sio HESHIMA za mwisho. Huu ni UNAFIKI wa mwisho.
Angalia alivyoinama utafikiri ana uhalali hata wa kuitwa Waziri Mkuu. Mkti wetu yuko jela , Chama alicho kianzisha Mzee Mtei kimezuiwa kufanya kazi zake za siasa, ni juzi tu huko Mbeya viongozi wetu wamekamatwa kwa sababu tu ya kupandisha bendera ya Chama ktk maazimisho ya miaka 33 ya CHADEMA.Lakini hata kauli zake huyu Mwingulu huko barabarani anako zurura ni mbaya na za dhihaka kubwa ktk msingi wa kutafuta na kuimarisha haki. Africa unafiki ungekuwa unazalisha umeme ,Tanzania tungekuwa na umeme mwingi kuliko Marekani.
Jana nimeshiriki katika tokeo la Uzinduzi wa barabara za juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi iliyopo Mwanakerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi, ambapo Mgeni rasmi katika uzinduzi huo alikuwa ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr Hussein Mwinyi
MASWALI YA KUJIULIZA KUHUSU WAANDAMANAJI?
1.Nani aliwapa kibali cha kupiga wahudumu wa Afya
2.Nani aliwapa kibali cha kukata watu vidole
3.Nani aliwapa kibali kubaka wanawake
4.Nani aliwapa kubali cha kuchoma moto nyumba za wananchi
5.Nani aliwapa kibali cha kuchoma miundombinu ya serikali
6.Nani aliwapa kibali cha kuiba mali za Raia wema
Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na kupandikiza chuki. Tunahitaji kuacha kutumika kama zana za kisiasa na badala yake tuungane kama Taifa
Tanzania Nchi YanguππΏππΏ
..
#SautiYaVijana
Mama Suluhu Hassan, President of Tanzania, is fast becoming one of my favorite leaders in Africa. No nonsense and extremely decisive! Asante sana Mama.
Rais Samia ameinua fedha ya kujikimu (Boom) kwa wanafunzi wa vyuo kutoka 8500/= kwa siku hadi 10,000/= na kuongeza wanafunzi wanufaika kutoka 142,000 hadi 248,000. Unawambiaje hawa waandamane badala ya KUTICK?
..
#TokaNitokeTukatiki
@Ndolezi_Petro Kwaiyo Fiesta huwa watu wanauliza maswali kuhusu mambo yao ya maendeleo, lkn pia unataka kutuambia kuwa wale waliokuwa wakiuliza maswali katika mkutano wa hadhara wa Babalevo sio wapiga kura wa Kigoma ????