@CenturyBoe Kuna Manow seminary ipo lwangwa Tukuyu kuna mtoto wa askofu alikuwa anasoma hapo alikuwa mtukutu kinoma,alikutwa club na tcha mmoja akaitwa akakimbia kesho yake akaitwa parade akaulizwa kwanini ulinikimbia akasema hata Mungu alimuita adamu bustanin lakini alimbia