Mafunzo hayo yanalenga kuwapa watumishi maarifa ya matumizi ya mfumo wa NeST ili waweze kufanya manunuzi ya serikali kwa kuzingatia Sheria, Kanununi na Taratibu za Manunuzi ya Umma.
Viongozi na wananchi mbalimbali wametembelea
banda la Mamlamka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko ( COPRA) katika maonesho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa.
Waziri wa Mifugo Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea banda la Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) kwenye maonesho ya Wiki ya Mazingira Duniani Kitaifa.
@eliyajanikila_@WizaraKilimo@HusseinBashe@SuluhuSamia@Hakingowi Bei hii bado ni ya faida kwa wakulima ukilinganisha na gharama za Uzalishaji. Serikali inaendelea kufatilia Mwenendo wa masoko na kusimamia mifumo ya mauzo ya kielektroniki ambayo inaongeza ushiriki wa wanunuzi na upatikanaji wa bei bora kwa wakulima inayoendana na soko la Dunia
@eliyajanikila_@WizaraKilimo@HusseinBashe@SuluhuSamia@Hakingowi Mwaka jana uzalishaji duniani ulipungua sana hasa katika nchi kama Brazil & Vietnam ambao huvuna wakati mmoja na sisi. Hii ilisababisha bei kua juu sana kWa kipindi hicho. Mwaka huu uzalishaji umeongezeka ukilinganisha na mahitaji hivyo bei imeshuka kwa wastani Wa 15% mpaka sasa.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi Irene Mlola amesema Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za vyama vya ushirika vya kilimo katika ujenzi wa miundombinu ya kuhifadhi mazao na vituo vya kukusanyia na kuuzia zao la parachichi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA), Bi. Irene Mlola amefanya ziara ya kikazi ya kutembelea mashamba ya parachichi na kuzungumza na wakulima wa zao hilo vikiwemo vyama vya msingi vya ushirika katika wilaya ya mkoani Mbeya
Waziri wa Kilimo Mhe.Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko Bi.Irene Mlola , Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Horticulture Association (TAHA) Dkt. Jacqueline Mkindi pamoja na uongozi wa (ASTA).
Mhe Bashe amesema Serikali inatambua juhudi za wakulima wadogo na itaendelea kuunga mkono juhudi hizo ili kuwawezesha kuyafikia masoko ya kimataifa moja kwa moja.
Waziri Bashe ameongeza kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi za wakulima na wafanyabiashara wa ndani ili